Qatar Airways

Qatar Airways Company Q.C.S.C.

Ndiyo shirika kuu la nchi ya Qatar, Uarabuni, ikiwa na makao yake mjini Doha. Ni moja kati ya ndege sita zilizotuzwa nyota tano na Skytrax, zikiwemo Kingfisher Airlines, Cathay Pacific, Asiana Airlines na Singapore Airlines.Wengi hupenda kutumia shirika hili kwa huduma za usafiri.

Qatar Airways
Qatar Airways
IATA
QR
ICAO
QTR
Callsign
QATARI
Kimeanzishwa 22.11.1993
Ilianza huduma 20.01.1994
Programu kwa wateja wa mara kwa mara Qatar Airways Privilege Club
Muungano Oneworld
Ndege zake 234
Shabaha 173
Makao makuu Qatar Airways Towers, Doha, Qatar
Tovuti https://qatarairways.com

Miji inayosafiria

Afrika

Afrika Kaskazini

Afrika Kusini

Afrika Mashariki

Afrika Magharibi

Asia

Asia Mashariki

Asia Kusini

  • Bangladesh
    • Dhaka - Zia International Airport
  • India
    • Ahmedabad - [Sardar Vallabhbhai Patel International Airport
    • Amritsar - Raja Sansi International Airport
    • Bangalore - Bangalore International Airport Cargo only [passenger fights begin 22 Februari]
    • Chennai - Chennai International Airport
    • Delhi - Indira Gandhi International Airport
    • Goa - Dabolim Airport
    • Hyderabad - Rajiv Gandhi International Airport
    • Kochi - Cochin International Airport
    • Kozhikode - Calicut International Airport
    • Mumbai - Chhatrapati Shivaji International Airport
    • Thiruvananthapuram - Trivandrum International Airport
  • Maldives
    • Malé - Male International Airport
  • Nepal
  • Pakistan
    • Islamabad - Benazir Bhutto International Airport
    • Karachi - Jinnah International Airport
    • Lahore - Allama Iqbal International Airport
    • Peshawar - Peshawar International Airport temporarily suspended
    • Sialkot - Sialkot International Airport - Cargo only
  • Sri Lanka
    • Colombo - Bandaranaike International Airport

Asia Kusini-Mashariki

Asia Kusini-Magharibi

Ulaya

Amerika Kaskazini

Oceania

Ndege zake

Qatar Airways 
Qatar Airways aina ya Airbus A330-300 kwenye uwanja wa ndege ya Manchester Airport, UK
Qatar Airways 
Qatar Airways aina ya Boeing 777-300ER ndani ya Doha International Airport, nchini Qatar
Qatar Airways 
Boeing 777-300ER ikishuka

Ndege za Qatar Airways ni:

Qatar Airways
Ndege Jumla Zilizowekwa oda Wasafirill>(First/Business/Economy) Itakapoanza kazi
Airbus A300-600RF 3 0 Cargo Inafanya kazi
Airbus A319-100LR 2 0 110 (8/0/102) Inafanya kazi
Airbus A319-100CJ 1 0 36 (16/20/0) Inafanya kazi
Airbus A320-200 13 18 144 (12/0/132) Inafanya kazi
Airbus A321-200 8 4 177 (0/12/165)
196 (0/0/196)
Inafanya kazi
Airbus A330-200 16 0 228 (12/24/192)
232 (8/24/200)
260 (0/24/236)
272 (0/24/248)
Inafanya kazi
Airbus A330-300 13 0 259 (12/24/223)
305 (0/30/275)
Inafanya kazi
Airbus A340-600 4 0 266 (8/42/216)
306 (8/42/256)
Inafanya kazi
Airbus A350-800 0 20 TBD mwaka wa 2014
Airbus A350-900 0 40 TBD mwaka wa 2014
Airbus A350-1000 0 20 TBD mwaka wa 2015
Airbus A380-800 0 5 TBD mwaka wa 2012
Boeing 777-200LR 5 3 259 (0/42/217) Inafanya kazi
Boeing 777-300ER 8 22 335 (0/42/293) Inafanya kazi
Boeing 777F 0 3 Cargo mwaka wa 2010
Boeing 787-8 0 30 TBD mwaka wa 2011
Bombardier Challenger 300 1 0 7 (7/0/0) Inafanya kazi
Bombardier Challenger 600 2 0 11 (11/0/0) Inafanya kazi
Jumla 76 167

Ndani ya ndege

Ndege karibu zote zina video kwenye kila kiti. Qatar Airways imeanzisha viti vinavyogeuka kuwa vitanda kwenye Business Class kwenye ndege ya aina za Boeing 777-300ER na Boeing 777-200LR.

Marejeo

Tags:

Qatar Airways Miji inayosafiriaQatar Airways AfrikaQatar Airways AsiaQatar Airways UlayaQatar Airways Amerika KaskaziniQatar Airways OceaniaQatar Airways Ndege zakeQatar Airways Ndani ya ndegeQatar Airways MarejeoQatar AirwaysDohaQatarUarabuni

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ubadilishaji msimboUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaBendera ya TanzaniaRushwaUongoziOrodha ya majimbo ya MarekaniEthiopiaMange KimambiHali ya hewaMaana ya maishaNyotaSensaFani (fasihi)MandhariVita ya Maji MajiTaswira katika fasihiUkwapi na utaoMtakatifu PauloWilaya ya KinondoniViunganishiMohamed HusseinChumba cha Mtoano (2010)Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMaudhuiFasihiHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMobutu Sese SekoMaradhi ya zinaaMisemoMbezi (Ubungo)Vivumishi vya pekeeNgeliMoscowOrodha ya milima mirefu dunianiKoroshoUzazi wa mpango kwa njia asiliaSheriaMasafa ya mawimbiBinadamuBungeUnyagoRicardo KakaMishipa ya damuKishazi tegemeziKabilaViwakilishi vya idadiIndonesiaMkoa wa RuvumaMafurikoJacob StephenWaheheJamiiAbrahamuSabatoUtalii nchini KenyaTarbiaUaMzeituniKiambishi awaliShetaniRita wa CasciaViwakilishi vya kuoneshaNyegeMadiniChristopher MtikilaTenzi tatu za kaleTume ya Taifa ya UchaguziJuxJamhuri ya Watu wa Zanzibar🡆 More