Mumbai

Mumbai (Kihindi: मुंबई  pia: Bombay) ni mji mkuu wa jimbo la Maharashtra kwenye pwani la magharibi la Uhindi.

Mumbai ni mji mkubwa wa India mwenye wakazi milioni 12.

Mumbai
Mumbai

Historia

Mji ulianzishwa kwenye kisiwa kilichopo karibu sana na bara. Kitovu kipo kwenye rasi inayoelekea katika Bahari Hindi. Kisiwa kilinunuliwa na Wareno mwaka 1534 nao Wareno waliwakabidhi kisiwa kwa Uingereza 1661.

Mji uliendelea kuwa bandari kuu ya Waingereza katika Uhindi ukakua. Mwaka 1852 reli ya kwanza ya Asia ilianzishwa hapa. Tangu siku za Wareno mji uliitwa Bombay lakini sehemu ya wenyeji waliona ni jina la kikoloni.

1995 serikali ya Maharashtra iliamua kubadilisha jina kuwa Mumbai kwa heshima ya mungu mmoja wa Kihindu. Wenyeji wanaendelea kutumia majina yote mawili.

Uchumi

Mumbai-Bombay ni kitovu cha filamu nchini Uhindi kwa kutania imeitwa mara nyingi "Bollywood". Ni mji muhimu wa viwanda na biashara. Bandari yake inashughulika asilimia 40 ya biashara ya nje ya taifa.

Mumbai 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Mumbai  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mumbai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JimboKihindiMaharashtraMji mkuuUhindi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KoroshoFasihi simuliziMkoa wa Unguja Mjini MagharibiAsidiSanaaBinadamuVielezi vya namnaHistoria ya WasanguKiingerezaKilimoDodoma (mji)PapaUlumbiJamhuri ya Watu wa ChinaVivumishi vya sifaKitenzi kikuu kisaidiziKinyongaOrodha ya makabila ya TanzaniaManchester CityMwanamkeChama cha MapinduziNominoKunguruUkwapi na utaoLugha ya taifaGeorDavieWachaggaMohamed HusseinJamhuri ya Watu wa ZanzibarBaruaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMofimuDiamond PlatnumzEl NinyoPasakaKilimanjaro (volkeno)KumaMchwaTupac ShakurNetiboliMaradhi ya zinaaTanganyikaMaajabu ya duniaMpira wa miguuOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMtume PetroApril JacksonChumba cha Mtoano (2010)Pijini na krioliAdolf HitlerKongoshoNyukiWizara za Serikali ya TanzaniaInshaHistoria ya Kanisa KatolikiKiongoziIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Asili ya KiswahiliMkwawaHurafaRohoKata za Mkoa wa Dar es SalaamJichoVivumishi vya kumilikiMahindiYanga PrincessVielezi vya idadiDemokrasiaHisiaKichecheNgeliMashuke (kundinyota)🡆 More