Tunis (kwa Kiarabu: تونس ) ni mji mkuu wa Tunisia na mji mkubwa nchini ikiwa na wakazi 602,560 (mwaka 2022) ambao pamoja na wakazi wa mitaa ya nje wanafikia jumla ya milioni 2.7.
Jiji la Tunis | |
Nchi | Tunisia |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 602,560 |
Mji uko ufukoni mwa Mediteranea, karibu na Karthago ya Kale.
Mji wa kale (Medina ya Tunis) umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tunis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Tunis, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.