Chennai ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tamil Nadu katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao milioni 4.6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Majiranukta: 13°5′N 80°16′E / 13.083°N 80.267°E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Tamil Nadu |
Wilaya | Chennai Kanchipuram Tiruvallur |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,590,000 |
Tovuti: www.chennaicorporation.gov.in |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chennai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Chennai, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.