Islamabad

Islamabad (Kiurdu: اسلام آباد) ni mji mkuu wa Pakistan.

Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi mguuni wa milima ya Himalaya na kijiografia sehemu ya Punjab ingawa kisiasa eneo lake limetengwa kutoka jimbo la Punjab kwa ajili ya mji mkuu.

Islamabad اسلام آبا
Islamabad
Msikiti ya Shah Faisal mjini Islamabad (Pakistan)
Habari za kimsingi
Mkoa Eneo la mji mkuu Islamabad (Islamabad Capital Territory)
Anwani ya kijiografia Latitudo: 33°40′N - Longitudo: 73°10′E.
Kimo 457 – 610 m juu ya UB
Eneo 906 km²
Wakazi 1,019,000 (1999)
Msongamano wa watu watu 1,123 kwa km²
Simu +92 (nchi), 51 (mji)
Mahali
Islamabad
Islamabad
Islamabad na Rawalpindi kwa macho ya ndege

Islamabad ni mji mpya. Azimio la kuujenga lilichakuliwa na rais Ayyub Khan mwanzo wa miaka ya 1960 aliyeamua kuhamisha mji mkuu kutoka Karachi kwenda kaskazini. Mji jirani wa Rawalpindi ukawa mji mkuu wa muda hadi kumalizika kwa Islamabad.

Mji ulipangwa shambani kwa kufuata muundo wa miraba. Mpangilio umekuwa na kanda nane kama vile kanda la balozi, la biashara, la elimu (shule na vyuo), la viwanda na kadhalika. Kila kanda limepewa maeneo mapana ya bustani, msikiti na soko.

Msikiti wa Shah Faisal ni msikiti kubwa duniani.

Islamabad Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Islamabad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

HimalayaMji mkuuPakistan

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Virusi vya UKIMWIHekimaMfumo wa JuaMadhara ya kuvuta sigaraShengVisakaleUkimwiViwakilishi vya kuoneshaUharibifu wa mazingiraAngahewaAina za manenoMunguKibu DenisOrodha ya Marais wa ZanzibarAli Hassan MwinyiHistoria ya AfrikaNzigeMatiniWaluguruMuunganoKamusi ya Kiswahili sanifuUjimaStashahadaOrodha ya Marais wa TanzaniaUkooAntibiotikiMtandao wa kompyutaMamba (mnyama)Kadi za mialikoMkoa wa SongweMofimuUfupishoLionel MessiUzazi wa mpango kwa njia asiliaMillard AyoUchawiKiswahiliMkoa wa SimiyuTungoNdoaAfyaWilaya za TanzaniaLafudhiMkoa wa SingidaAfrikaHerufi za KiarabuMafurikoUNICEFTungo kishaziTanzaniaUwanja wa Taifa (Tanzania)ArudhiAfrika ya MasharikiMadawa ya kulevyaThamaniVirusi vya CoronaUtamaduniViwakilishi vya idadiUainishaji wa kisayansiNamba tasaIdi AminKiambishi tamatiMjusi-kafiriSaidi Salim BakhresaHaki za wanyamaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziKilwa KisiwaniMfumo wa mzunguko wa damuMitume na Manabii katika Uislamu🡆 More