Berlin: Mji mkuu wa Ujerumani

Berlin ni mji mkuu, pia mji mkubwa na jimbo la kujitawala la Ujerumani ikiwa na wakazi zaidi ya 3.8 milioni. Berlin iko mashariki mwa Ujerumani, palipo mto unaoitwa Spree.

Berlin
Berlin: Mji mkuu wa Ujerumani
Bendera
Berlin: Mji mkuu wa Ujerumani
Nembo
Berlin is located in Ujerumani
Berlin
Berlin

Mahali pa mji wa Berlin katika Ujerumani

Majiranukta: 52°30′2″N 13°23′56″E / 52.50056°N 13.39889°E / 52.50056; 13.39889
Nchi Ujerumani
Jimbo Berlin
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 3,878,100 (2,023)
Tovuti:  www.berlin.de
Berlin: Mji mkuu wa Ujerumani
Mji wa Berlin

Berlin ilianza kukua kama mji mkuu wa Prussia, ikawa mji mkuu wa Ujerumani tangu kuundwa kwa Dola la Ujerumani mwaka 1871. Kati ya miaka 1949 na 1991 ilikuwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani.

Kati ya miaka 1961 na 1989 mji ulitengwa na ukuta kati ya sehemu za mashariki na magharibi. Baada ya kuungana tena kwa Wajerumani mnamo 1990, Berlin ikawa tena mji mkuu wa Ujerumani yote.

Tanbihi

Viungo vya nje


 
Majimbo ya Ujerumani
Berlin: Mji mkuu wa Ujerumani 
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)
Berlin: Mji mkuu wa Ujerumani  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Berlin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AdhuhuriNgw'anamalundiMusaKatibuUwanja wa WembleyMaendeleoTungo sentensiKitabu cha TobitiYerusalemuZabibuMkoa wa MorogoroNuktambiliViwakilishi vya idadiUislamuOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKenyaWasukumaDeuterokanoniMaishaCristiano RonaldoSentensiIsimuMbooMshale (kundinyota)Tin HinanAli KibaKichochoEthiopiaMohamed HusseinManiiBusaraHistoria ya UislamuSaidi NtibazonkizaBabeliMtume PetroMaumivu ya kiunoKiboko (mnyama)Mungu ibariki AfrikaFamiliaMandhariBrigediaKongoshoKilatiniUkwapi na utaoBiashara ya watumwaLuis MiquissoneFani (fasihi)Majira ya mvuaUraiaBiblia ya KiebraniaHistoria ya IranTabianchiSayariMkoa wa SongweFasihiKalenda ya GregoriAslay Isihaka NassoroChatuUdhibiti wa sarataniKitenzi kikuuZana za kilimoOrodha ya visiwa vya TanzaniaHaki za binadamuKikoreaMwalimuNyotaNenoInshaKamusiKiswahiliKiambishi tamatiNgekewaMwanzo (Biblia)Kidole cha kati cha kandoKhadija KopaMkoa wa Dar es SalaamMarekani🡆 More