Uwanja wa Kimataifa wa Khalifa (kwa Kiarabu: ملعب خليفة الدولي), pia unajulikana kama Uwanja wa Taifa, ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali katika mji wa Doha nchini Qatar, kama sehemu ya michezo ya mji wa Doha kama vile Aspire Academy.
Umepewa jina la Khalifa bin Hamad Al Thani, amiri wa zamani wa nchini Qatar. Fainali ya mwaka 2011 ya Kombe la Asia Afc ilichezwa katika uwanja huu. Uwanja huu umeajiri wafanyakazi wapatao 30,000.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Khalifa kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uwanja wa Michezo wa Khalifa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.