Riyad

Riyad (Kar.: الرياض‎ ar-riyāḍ) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ufalme wa Uarabuni wa Saudia.

Riyad
Muonekano wa Mji wa Riyad

Iko katikati ya Bara Arabu kwenye nyanda za juu za eneo la Najd. Kuna wakazi milioni 4.3 ambao ni karibu 20 % za watu wote katika Saudia.

Jiografia

Mazingira ya Riyad ni jangwa lakini mahali penyewe pamekuwa na visima vya maji tangu karne nyingi kuna pia mvua kidogo. Siku hizi maji hupelekwa hasa kwa mabomba kutoka pwani penye vituo vya kuondoa chumvi kwenye maji ya baharini. Nyanda za juu hupokea kiasi cha mvua hasa wakati wa Aprili.

Historia

Miji na vijiji vya mabonde yenye visima ya eneo la Riyad vilikuwa chanzo cha Saudia ya kisasa. Familia ya Saud ilitawala hapa tangu karne ya 18 na kujiunga na harakati ya Wahabiyya. Utawala huu ulivunjwa na Dola la Uturuki katika karne ya 19 lakini Wasaud walirudi mwaka 1902 na kutwaa boma la Riyad.

Abd al Azis Ibn Saud (1880-1953) alieneza himaya yake kutoka hapo baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (iliyoondoa Waturuki katika Uarabuni) kwa kushambulia na kutwaa maeneo mengine ya Bara Arabu na mwishowe Makka.

Riyad 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Riyad  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Riyad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kar.Mji mkuuUarabuni wa SaudiaUfalme

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkutano wa Berlin wa 1885Mtume PetroPentekosteKisaweBibliaUlayaNgw'anamalundiUsafi wa mazingiraMariooMkoa wa ManyaraKanda Bongo ManMtumbwiOrodha ya Watakatifu WakristoLilithRicardo KakaMapambano ya uhuru TanganyikaOrodha ya Marais wa UgandaMajina ya Yesu katika Agano JipyaHistoria ya WasanguSerikaliUrusiTaswira katika fasihiMaambukizi ya njia za mkojoMuhammad25 ApriliNabii EliyaHaitiLongitudoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaKiingerezaFutiMaradhi ya zinaaShahawaKishazi huruRiwayaVita Kuu ya Pili ya DuniaNusuirabuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMafumbo (semi)VokaliHifadhi ya mazingiraTumbakuLeonard MbotelaWema SepetuPamboNomino za jumlaMwamba (jiolojia)WahaMnyamaMfumo wa JuaHistoria ya ZanzibarAfrikaRohoUjimaStephane Aziz KiAfrika ya MasharikiAsidiWizara za Serikali ya TanzaniaBikira MariaKupatwa kwa JuaManispaaViwakilishi vya pekeeJakaya KikweteVita Kuu ya Kwanza ya DuniaAustralia🡆 More