Dili

Dili ni mji mkuu wa Timor ya Mashariki mwenye wakazi 150,000.

Jiji la Dili
Nchi Timor ya Mashariki
Dili
Jumba la gavana wa Ureno sasa ofoso ya Waziri Mkuu

Mji uko upande wa kaskazini ya kisiwa cha Timor una bandari kuu la nchi pamooja na uwanja wa ndege wa kimatifa. Ni pia mahali pa chuo kikuu cha Timor ya Mashariki.

Mji ulianzishwa na Wareno mnamo mwaka 1520 ukawa makao makuu ya koloni ya Kireno. Uhuru wa nchi ulitangazwa hapa 1975 uliofuatwa na uvamizi wa Indonesia. Vita ya ukombozi ilileta uharibifu mwingi.

Tangu 20 Mei 2002 Dili ni mji mkuu wa Timor ya Mashariki huru.

Viungo vya nje

Dili  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dili kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Dili 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DiplomasiaAzimio la kaziAli Hassan MwinyiLahaja za KiswahiliBustani ya wanyamaAli KibaMabantuSamia Suluhu HassanRose MhandoMtandao wa kijamiiHistoria ya KiswahiliFonetikiWaarabuWaheheVidonge vya majiraMatumizi ya LughaUtandawaziDaktariMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMkanda wa jeshiKamala HarrisPilipiliNamibiaSumakuChemchemiHektariMlo kamiliLugha ya kigeniMishipa ya damuHistoria ya ZanzibarUkooNdoa ya jinsia mojaSanaaKisimaUtoaji mimbaKito (madini)KatibaUshairiWanyaturuEverest (mlima)Orodha ya makabila ya TanzaniaHali maadaKiumbehaiFMNomino za wingiPesaKassim MajaliwaNathariZama za MaweNamba za simu TanzaniaBikira MariaKikohoziLugha rasmiTeziMnjugu-maweBendera ya TanzaniaMbeya (mji)MavaziNyweleSimba S.C.KenyaNchiShairiMtakatifu PauloBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMpira wa miguuBendera ya KenyaAmfibiaMkoa wa DodomaKitenzi kikuu kisaidiziAsidiYesuJumuiya ya MadolaAla ya muziki🡆 More