New Delhi

New Delhi (yaani Delhi Mpya; kwa Kihindi: |नई दिल्ली, kwa Kiurdu: نئی دلی) ni mji mkuu wa Uhindi na kitovu cha jiji kubwa la Delhi. Pamoja na Delhi yote kuna wakazi zaidi ya milioni kumi.

Jiji la New Delhi
Jiji la New Delhi is located in Uhindi
Jiji la New Delhi
Jiji la New Delhi

Mahali pa New Delhi katika Uhindi

Majiranukta: 28°40′0″N 77°13′0″E / 28.66667°N 77.21667°E / 28.66667; 77.21667
Nchi Uhindi
Tovuti:  http://www.ndmc.gov.in/
New Delhi
"India Gate" mjini New Delhi.
New Delhi
Boma Jekundu la Delhi ni jengo mashuhuri lililojengwa kwa Shah Jahan.
New Delhi
Majengo ya serikali katika Delhi Mpya yalijengwa na Waingereza.

Jiografia

Iko kaskazini mwa nchi kwenye kingo za mto Yamuna katika tambarare ya bonde la Ganga. Mji huo uko m 216 juu ya UB kwa wastani.

Historia

Delhi ina historia ndefu sana iliyoanza mnamo mwaka 1200 KK. Iliharibiwa mara nyingi na kujengwa upya na kubadilisha jina pamoja na wakazi na watawala wake. Katika karne zilizopita ilikuwa mji mkuu wa Dola la Moghul na tangu mwaka 1911 wa Uhindi wa Kiingereza.

Delhi Mpya ilianzishwa baada ya azimio la George V, mfalme wa Uingereza na Kaisari wa Uhindi, la kuhamisha mji mkuu kutoka Kolkata kwenda Delhi. Mji mpya ulijengwa kando ya Delhi ya Kale na kukabidhiwa mwaka 1931. Ulisanifiwa na wasanifu Waingereza Edwin Lutyens (1869-1944) na Herbert Baker (1862-1946).

Tangu mwaka 1947 New Delhi ni mji mkuu wa Uhindi huru.

Viungo vya nje

New Delhi 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
New Delhi  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu New Delhi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KariakooMtakatifu PauloDemokrasiaDubaiUkwapi na utaoViwakilishi vya pekeeKumaMichezoJava (lugha ya programu)Magonjwa ya kukuKabilaHistoria ya WasanguUmoja wa AfrikaWaheheOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaSteven KanumbaMapambano kati ya Israeli na PalestinaMvuaMzeituniLafudhiDhima ya fasihi katika maishaKinembe (anatomia)Meta PlatformsMadawa ya kulevyaKiarabuJamhuri ya Watu wa ZanzibarUtalii nchini KenyaKishazi huruMkwawaMaji kujaa na kupwaDiglosiaSadakaWilaya ya ArushaMbogaRiwayaUkristo nchini TanzaniaMwana FAKifua kikuuBruneiFalsafaWanyaturuAdolf HitlerDhamiraAzimio la ArushaHistoria ya uandishi wa QuraniVielezi vya namnaKata za Mkoa wa MorogoroWhatsAppBunge la TanzaniaMapinduzi ya ZanzibarMnyamaMbadili jinsiaVidonge vya majiraMkoa wa MaraRitifaaLiverpool F.C.VitendawiliJoseph ButikuPumuMkoa wa SimiyuSiafuSanaa za maoneshoPunyetoKigoma-UjijiAfrika Mashariki 1800-1845Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaJose ChameleoneViwakilishi vya urejeshiUgonjwa wa kuharaUchumiMariooMwenge wa UhuruMsitu wa Amazon🡆 More