Mraba ni aina ya pekee ya mstatili.
Kama mstatili umbo lake lina pembe nne na kila pembe ina nyuzi 90 yaani ni pembemraba. Urefu wa kila upande ni sawa. Pande zote zinazoelekeana ni sambamba.
Lalo za mraba zinalingana na kukatana kwa pembe la 90°. Nafasi kati ya kila ulalo na upande wa nje wa mraba ni 45°.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mraba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mraba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.