Pembetatu Mraba

Pembetatu mraba ni aina ya pekee ya pembetatu yenye pembe moja ya nyuzi 90°.

Pembe mbili nyingine zina jumla ya nyuzi 90°.

Pembetatu Mraba
Pembetatu mraba

Pande zina majina maalumu kutokana na kawaida ya wanahisabati ya Ugiriki wa Kale.

  • Pande ndefu kinyume cha pembe mraba ni hipotenusi au kiegana.
  • Pande mbili nyingine zinazoanza kwenye pembe mraba huitwa miguu au kwa neno la Kigiriki katheti.


Tabia za pembetatu mraba yenye hipotenusi c
Majina ya pande
majina ya pembe
kimo
eneo
mzingo


  • uhakiki wa Thales husema kila pembetatu ambayo kona zake ziko kwenye nusuduara sharti ni pembetatu mraba.
  • uhakiki wa Pythagoras husema ya kwaba mraba juu ya hipotenusi ni sawa na jumla ya miraba juu ya miguu (katheti).


Pembetatu Mraba Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pembetatu mraba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

NyuziPembePembetatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KisimaMlima wa MezaMbuga za Taifa la TanzaniaWayahudiTambikoWilaya ya Nzega VijijiniShengRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMawasilianoTungoBibliaSayansi ya jamiiBongo FlavaKihusishiKiarabuAgano la KaleKaaMkoa wa ShinyangaDawa za mfadhaikoOrodha ya majimbo ya MarekaniMkoa wa ArushaYoung Africans S.C.LongitudoOrodha ya Marais wa TanzaniaHistoria ya ZanzibarKonyagiSentensiOrodha ya miji ya TanzaniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaFonolojiaMohamed HusseinMkoa wa RukwaMpira wa miguuAmfibiaIkwetaJava (lugha ya programu)Wilaya ya NyamaganaFani (fasihi)ShangaziBruneiHifadhi ya mazingiraUtawala wa Kijiji - TanzaniaUwanja wa Taifa (Tanzania)Mkoa wa TangaRupiaVivumishi vya pekeeDubai (mji)Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaHistoria ya uandishi wa QuraniPunda miliaMishipa ya damuRicardo KakaUnyagoUenezi wa KiswahiliUharibifu wa mazingiraMadiniUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMbuniRamaniNdiziVitendawiliKishazi huruUlayaJose ChameleoneKondomu ya kikeMbagalaMazingiraTreniMaradhi ya zinaaHadithiPentekoste🡆 More