Katika hisabati, uhakiki wa Pythagoras ni taarifa juu ya pande zote za pembetatu mraba.
Fomula yake ni a2 + b2 = c2 inayomaanisha ya kwamba kwenye pembetatu mraba jumla ya miraba juu ya miguu inayokutana kwenye pembemraba (cathetus) ni sawa na mraba juu ya kiegema (hypotenuse, upande usiounganishwa na pembemraba).
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uhakiki wa Pythagoras, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.