Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Hisabati" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Hisabati ni somo linalohusika na idadi, upimaji na ukubwa wa vitu. Kwa ujumla linahusika na miundo na vielezo. Hisabati linaundwa na masomo mbalimbali... |
Hisa katika hisabati ni tokeo la mgawanyo au hesabu ya kugawanya namba moja kwa nyingine. Kama swali ni 6 ÷ 3 basi hisa yake ni 2. Katika mfano huu 6 na... |
Usawa (kwa Kiingereza parity) katika hisabati unamaanisha ya kwamba kila namba kamili (integer) iko katika moja ya makundi mawili: namba shufwa kama 2... |
za namba ni hasa hisabati pamoja na matumizi yote yake katika fani kama vile uhandisi, uchumi, takwimu na sayansi mbalimbali. Hisabati inatumia dhana ya... |
Hesabu (Kusanyiko Mbegu za hisabati) Hesabu (afadhali: Hisabati kutoka neno la Kiarabu vilevile) ni somo linalohusika na idadi na jinsi tunavyoweza kuhesabu kwa kutumia hasa kanuni zifuatazo:... |
Nusu (Kusanyiko Mbegu za hisabati) nisf) ni kipande cha kitu kizima au sehemu ya pili ya jumla fulani. Katika hisabati ni kwamba jumla hiyo imegawiwa katika sehemu mbili zilizo sawa. Hivyo inaandikwa... |
Umbali (Kusanyiko Hisabati) kukadiria kuzingatia vigezo vingine. Katika hisabati umbali kazi au tani ni dhana ya umbali wa kimwili. Katika hisabati, kigezo cha umbali ni ujumuisho wa dhana... |
Majiranukta (pia: mfumo majiranukta) ni mbinu ya hisabati unaoeleza nafasi ya kila nukta katika seti ya namba. Majiranukta ya kawaida hueleza nafasi ya... |
Jumla (Kusanyiko Mbegu za hisabati) Katika hisabati, jumla (kwa Kiingereza: addition) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na mgawanyiko, utoaji na dharuba). Jumla ni kinyume cha utoaji... |
Fomula (Kusanyiko Hisabati) Katika hisabati au sayansi fomula ni kanuni iliyoandikwa katika alama za kialjebra. Fomula hutumia herufi au alama za pekee (kama π) badala ya maneno.... |
John von Neumann (28 Desemba 1903 - 8 Februari 1957) alikuwa mtaalamu wa hisabati nchini Marekani. Alizaliwa Budapest kama mtoto wa familia ya Wahungaria... |
Umoja (Kusanyiko Hisabati) Umoja katika hisabati unahusu sifa maalumu za namba moja na za mambo yote yasiyo na wingi. Kutokana na maana hiyo ya msingi, neno umoja linatumika katika... |
Indre-et-Loire, 1596 - Stockholm, 1650), Mfaransa aliyeshughulikia falsafa na hisabati Galileo Galilei (Pisa, 1564 - Arcetri, 1642), Mwitalia mwanzilishi wa fizikia... |
Robo (Kusanyiko Mbegu za hisabati) rob) ni kipande cha kitu kizima au sehemu ya nne ya jumla fulani. Katika hisabati ni kwamba jumla hiyo imegawiwa katika sehemu nne zilizo sawa. Hivyo inaandikwa... |
Blaise Pascal alikuwa mtaalamu mashuhuri wa hisabati, falsafa na teolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Alizaliwa huko Clermont-Ferrand, mkoa wa Auvergne. Alipokuwa... |
Nadharia ya namba (Kusanyiko Mbegu za hisabati) arithmetic) ni tawi la hisabati linalochunguza hasa nambakamili. Mwanahisabati Mjerumani Carl Friedrich Gauss (1777–1855) alisema, "Hisabati ndiyo malkia wa... |
Utoaji (Kusanyiko Mbegu za hisabati) Katika hisabati, utoaji (kwa Kiingereza: subtraction) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na mgawanyiko, jumla na dharuba). utoaji ni kinyume cha... |
Dharuba (Kusanyiko Mbegu za hisabati) Katika hisabati, dharuba (kwa Kiingereza: multiplication) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na jumla, utoaji na mgawanyiko). Dharuba ni kinyume... |
Namba asilia (Kusanyiko Mbegu za hisabati) Namba asilia (ing. natural numbers) katika hisabati ni namba zinazotumika kwa kuhesabu (kama hivi "kuna sarafu tatu mezani") na kwa kupanga (kama hivi... |
Mwanahisabati (Kusanyiko Hisabati) Mwanahisabati ni mtaalamu anayetumia ujuzi mpana wa hisabati katika kazi yake, ili kutatua mafumbo ya kihisabati. Archimedes, 287 KK hivi – 212 KK Muḥammad... |