Ikulu Ya Tanzania

Ikulu (kutoka neno la Kinyamwezi; kwa Kiingereza: State House) ya nchi ya Tanzania ilijengwa na Wajerumani mwaka 1891 kwa namna ya kipekee na gavana wa Kihuni Chakosi Dikwe na kutumika kama ngome ya gavana.

Ikulu Ya Tanzania

Iliharibiwa wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia.

Baada ya vita ya kwanza ya Dunia Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa kikoloni wa Waingereza na hapo ngome hiyo iliitwa Government House na ilijengwa tena mwaka 1922 ambapo gavana wa Kiswahili Sir Unapima Mkali alipochukua utawala.

Majengo hayo yamejengwa kwa ubora wa pekee na ni ya kihistoria kwani yalikuwa ngome za magavana.

Ikulu ilijengwa mahususi eneo la Mawenzi, Dar es Salaam.

Tags:

1891GavanaKiingerezaKinyamweziNgomeWajerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MeliMwanza (mji)SemantikiOrodha ya Marais wa BurundiMaji kujaa na kupwaUsafi wa mazingiraKitovuMalawiAgano la KaleJuma kuuVichekeshoUNICEFMuzikiOrodha ya miji ya TanzaniaTashdidiTendo la ndoaDodoma (mji)Mbeya (mji)Ngono zembeMkoa wa MbeyaSamakiWanyamweziTamathali za semiUsawa (hisabati)WagogoWimboWachaggaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniWikipediaSaidi NtibazonkizaAir TanzaniaNgiriTarafaKondoo (kundinyota)WiktionaryVielezi vya mahaliMusaKipaimaraDiniNomino za kawaidaKuhani mkuuMtaalaBendera ya TanzaniaOrodha ya vitabu vya BibliaKibodiDawa za mfadhaikoJoseph Leonard HauleNandySikukuuMpwaKairoNgonjeraSkautiKito (madini)JotoMamba (mnyama)KongoshoKatekisimu ya Kanisa KatolikiMizimuLugha ya taifaManiiFutiSheriaPonografiaImaniMmeaMaishaUjamaaTarehe za maisha ya YesuMakkaVivumishi vya sifaSaddam HusseinWapareVita ya Maji MajiMalaria🡆 More