Shilingi Ya Tanzania

Shilingi ya Tanzania (kwa Kiingereza Tanzanian shilling; kifupi: TSh; code: TZS) ni fedha rasmi ya Tanzania.

Imegawanyika katika senti (cents kwa Kiingereza) 100.

Shilingi Ya Tanzania
Sarafu ya shilingi 200 upande wa mbele.

Shilingi ya Tanzania ilishika nafasi ya East African shilling tarehe 14 Juni 1966 at par.

Kabla yake katika maeneo ya Tanzania ya sasa ziliwahi kutumika East African florin, East African rupee, Zanzibari rupee, Zanzibari riyal na German East African rupie.

Shilingi 100 zinaandikwa "100/=" au "100/-". Senti 50 zinaandikwa =/50 au -/50.

Tazama pia

  • Uchumi wa Tanzania

Tanbihi

Viungo vya nje

Shilingi Ya Tanzania 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

ISO 4217KiingerezaTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

HomoniMkoa wa SingidaJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMungu ibariki AfrikaUchawiBinadamuKimara (Ubungo)Manchester CityKidole cha kati cha kandoUpepoAsidiMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiFonolojiaFisiSaratani ya mlango wa kizaziMaghaniJinsiaPapa (samaki)Bonde la Ufa la Afrika ya MasharikiUundaji wa manenoMapenziUzazi wa mpango kwa njia asiliaSheriaFani (fasihi)Wilaya ya NyamaganaSimba (kundinyota)Kata za Mkoa wa Dar es SalaamUKUTAWapareSamia Suluhu HassanUchumiPasakaUtandawaziKipindupinduSaidi Salim BakhresaMtandao wa kijamiiUenezi wa KiswahiliSikioJamhuri ya Watu wa ChinaMadhara ya kuvuta sigaraBarua rasmiUbaleheKifaruDodoma (mji)Mfuko wa Mawasiliano kwa WoteHurafaKisimaKumaRushwaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaSwalaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaLugha ya taifaKhalifaUmoja wa AfrikaHektariIndonesiaMamba (mnyama)Kitenzi kikuu kisaidiziWimboMalariaTenzi tatu za kaleLahaja za KiswahiliMfumo katika sokaUnyagoDoto Mashaka Biteko🡆 More