Jimbo la uchaguzi (kwa Kiingereza: constituency, riding, ward, division, electoral area au electorate) ni eneo la nchi yoyote lililotengwa kwa ajili ya upigaji kura.
Kwa kawaida lengo ni kupata mwakilishi mmoja au zaidi kwa ajili ya bunge au mkusanyiko mwingine. Taratibu za zoezi hilo ziko nyingi tofautitofauti.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo la uchaguzi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Jimbo la uchaguzi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.