Parapela (kutoka Kilatini propellere = kusogeza mbele) ni jina la rafadha ikitumiwa kwenye ndege.
Parapela inatumia fizikia kama kila rafadha inasababisha tofauti ya kanieneo inayovuta ndege mbele.
Helikopta huwa na parapela mbili; parapela kubwa inavuta helikopta juu na parapela ndogo ya nyuma husaidia kupanga mwelekeo wake inapokwenda.
Parapela za ndege hutengenezwa kwa kutumia ubao, plastiki na kwa mashine kubwa metali.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Parapela, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.