Uanahewa Ndege

Ndege (au eropleni) ni chomboanga kikubwa kinachoweza kuruka kikiwa na watu au bidhaa ndani.

Uanahewa Ndege
Jet2
Uanahewa Ndege
Boeing 767 ni mfano wa ndege kubwa inayosukumwa na injini jeti
Uanahewa Ndege
Do 27 ni mfano wa ndege ndogo inayosukumwa na parapela. Ndege hii ilitumiwa na profesa Bernhard Grzimek kwa kuangalia wanyama katika Serengeti

Tofauti na puto au ndegeputo ni nzito kuliko hewa hivyo inahitaji chanzo cha nguvu kwa kupanda na kusafiri hewani, kwa kawaida enjini ama injini jeti au injini ya parapela pamoja na mabawa.

Ndege zinasafirisha watu na mizigo duniani kote. Ni njia ya haraka ya usafiri kushinda usafiri kama barabara, reli au meli. Ndege huhitaji uwanja wa ndege kwa kuruka au kushuka, isipokuwa aina za pekee kama helikopta zinaweza kushuka au kuruka karibu kila mahali, au ndege za bahari ama ndege za maji zinazoweza kuruka na kutua usoni kwa bahari au maziwa.

Nchi nyingi zina pia ndege za kijeshi kwa ulinzi au vita.

Kati ya makampuni makubwa yanayotengeneza ndege ni Airbus wa Ulaya na Boeing wa Marekani. Kuna makampuni mengi madogo zaidi katika nchi mbalimbali zinazotengeneza aina za ndege pia.

Ndege ya kwanza ilibuniwa na ndugu Orville na Wilbur Wright mwaka 1903. Mwanzoni ndege hazikuwa na uwezo wa kubeba abiria wengi, lakini wanasayansi wameboresha usafiri huo wa anga kwa kutengeneza ndege zenye uwezo wa kubeba abiria wengi na kwenda umbali mrefu kwa kutumia muda mfupi.

Shirika za Ndege muhimu Afrika (mwaka 2014)

Shirika Abiria
(x1000)
Idadi ya ndege Miji inayohudumiwa Chanzo Ushirikiano
1 Uanahewa Ndege  Ethiopian Airlines 3.850 47 50 Star Alliance
2 Uanahewa Ndege  South African Airways 3.800 67 60 Star Alliance
3 Uanahewa Ndege  Kenya Airways 2.010 19 55 Sky Team
4 Uanahewa Ndege  Africa Safari Air 1.700 12 10 Sky Team

Marejeo

Uanahewa Ndege  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndege (uanahewa) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BidhaaChomboangaMtu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya TanzaniaBarabaraNyegereMofolojiaMwanaumeMnyamaUkwapi na utaoTamathali za semiKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniHaki za watotoLugha fasahaTungoMuhammadOrodha ya wanamuziki wa hip hopHistoria ya WasanguNchi za visiwaANyaniShetaniAlama ya uakifishajiClatous ChamaMaarifaJumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta dunianiMongoliaRushwaNgono zembeSemiKiini cha atomuNyongoCAFAzimio la kaziMkoa wa SimiyuKimondo cha MboziAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMkoa wa MaraUsultani wa ZanzibarNamba tasaSenegalUfufukoMofimuMilki ya OsmaniMitume na Manabii katika UislamuKinembe (anatomia)Lionel MessiNyangumiSemantikiMacky Sall26 MachiKombe la Dunia la FIFAMtume YohaneNevaViwakilishi vya pekeeSheriaUgonjwa wa kuharaMamba (mnyama)UsimbajiRamaniKelvin Pius JohnKiwakilishi nafsiKaswendeMagonjwa ya machoTungo kiraiMnyoo-matumbo MkubwaKitenzi kishirikishiYoung Africans S.C.MbwaPemba (kisiwa)UpendoMaradhi ya zinaaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaWairaqwUjima🡆 More