Kisawe

Kisawe ni neno lenye maana ileile ya neno lingine; kwa mfano jogoo kisawe chake ni kikwara, bamia kisawe chake ni binda na mengineyo, kama vile nyanya-bibi, tembo-ndovu, mtu–mja-adinasi-mahuluki-insi-binadamu, rafiki–msena-mwandani-bui, ugonjwa-maradhi.

Katika sentensi kisawe kimoja kinaweza kubadilishwa na kisawe kingine bila kubadilisha maana ya sentensi.

Hayo maneno yaliyo na maana sawa au yanayokaribiana sana kimaana yanaonyesha utajiri wa lugha fulani na huwezesha kuremba sentensi, mazungumzo na maandishi viwe vya uzuri wa kifasihi.

Kisawe Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisawe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BamiaBindaJogooKikwaraNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaPesaMofimuJomo KenyattaMjasiriamaliAsiaViunganishiDr. Ellie V.DTausiMtaalaChuo Kikuu cha Dar es SalaamNdegeSeli nyeupe za damuWaheheTarehe za maisha ya YesuAfande SeleLugha ya taifaUgonjwa wa kupoozaUshogaMazingiraMongoliaPijini na krioliDodoma (mji)Mapambano kati ya Israeli na PalestinaUrusiVielezi vya mahaliUlumbiOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoJacob StephenMaana ya maishaVita ya Maji MajiOrodha ya programu za simu za WikipediaUtapiamloWilaya za TanzaniaLucky DubeMkoa wa MwanzaUfugaji wa kukuVielezi vya namnaSomo la UchumiAli KibaKisimaKuhani mkuuJogooKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaKaramu ya mwishoMadinaMzeituniIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Mungu ibariki AfrikaMagonjwa ya kukuKwaresimaHektariFamiliaFid QKilwa KivinjeGesi asiliaChakulaJihadiAlama ya uakifishajiItaliaKiambishiEkaristiYoweri Kaguta MuseveniSkeliPichaStadi za lughaHistoria ya WasanguUtegemezi wa dawa za kulevyaOrodha ya Watakatifu WakristoUgandaPaul MakondaSakramenti🡆 More