Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Jua" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Jua (alama: ) ni kitovu cha mfumo wa Jua wenye sayari nane, sayari vibete na magimba mengi madogo. Dunia ni sayari ya tatu katika mfumo huu. Jua ni nyota... |
Kalenda ya jua ni kalenda inayofuata mwendo wa jua jinsi inavyoonekana angani. Hali halisi tunaona matokeo ya mwendo wa dunia kuzunguka jua. Katika kalenda... |
Tungamo ya Jua (ing. Solar mass) inataja tungamo ya Jua letu ambayo ni takriban kilogramu 1.99 × 1030 . Hii inalingana na tungamo ya Dunia yetu mara 332... |
Upepo wa Jua (kwa Kiingereza solar wind) ni jina la mkondo mfululizo wa chembe za nyuklia unaotoka katika Jua. Chembe za nyuklia ni vipande vidogo vinavyopatikana... |
Mfumo wa Jua (en:solar system) ni mpangilio wa Jua letu, sayari na sayari kibete zinazolizunguka pamoja na miezi yao, asteroidi, meteoridi, kometi na... |
Jua (kwa Kiingereza: ecliptic) ni mstari wa kudhaniwa kwenye anga la Dunia ambako Jua linapita mbele ya nyota katika muda wa mwaka mmoja. Njia ya Jua... |
Nusukipenyo ya Jua (ing. solar radius) ni nusu ya kipenyo cha Jua letu na hivyo sawa na umbali wa kilomita 696.342 au mara 109 nusukipenyo cha Dunia. Umbali... |
Kupatwa kwa Jua (kwa Kiingereza solar eclipse) ni hali ya Jua kutoonekana (au kuonekana kwa sehemu tu) angani wakati wa mchana kwa muda fulani hata pasipo... |
Mwanga wa Jua (au nuru ya Jua; kwa Kiingereza sunlight au sunshine) ni mionzi kwa umbo la nuru inayoonekana, nuru ya infraredi na urujuanimno ambayo hutolewa... |
Madoa ya Jua ni sehemu kwenye uso wa Jua zinazoonekana nyeusi-nyeusi katika darubini ya mtazamaji. Madoa makubwa yanaweza kutazamiwa pia wakati wa machweo... |
Mng'aro wa Jua (kwa Kiingereza: solar luminosity ) ni jumla ya mng'aro au mnururisho wa sumakuumeme unaotoka kwenye Jua na kuelekea nje yake katika anga-nje... |
Kindi-jua ni wanyama wadogo wa jenasi Heliosciurus katika kabila Protoxerini la familia Sciuridae. Mkia yao una miviringo myeusi na kahawia au kijivu... |
Kalenda ya jua-mwezi (kwa Kiingereza: lunisolar calendar) ni kalenda inayotumia awamu za Mwezi pamoja na mwaka wa jua. Kalenda ya Kiyahudi na ya Kichina... |
Nuru (elekezo toka kwa Mionzi ya jua) ya takriban terahezi 789 hadi 384. Chanzo cha nuru duniani ni hasa jua. Nuru ya jua inaleta pia nishati inayotumiwa na mimea ambayo kwa njia ya usanisinuru... |
Jua Cali (jina lake kamili ni Paul Julius Nunda; alizaliwa Nairobi, Kenya, 12 Septemba 1979) ni mwanamuziki wa Kenya. Jua Cali ni msanii wa nyimbo za... |
Mtambo huu hutega mionzi ya jua ili kupasha maji moto. Teknolojia za hita ya maji za nishati ya jua (Solar water heater systems "SWHs") zimeenea duniani... |
Siku ya jua (ing. solar day) ni muda ambapo Jua linarudia mahali pale pale angani. Muda huu ni tofauti na siku ya nyota. Tofauti hii inatokana na mwendo... |
Mwaka (fungu Mwaka katika kalenda ya jua) ikifuata mwendo wa jua. Katika kalenda za jua mwaka unalingana na muda wa mzunguko mmoja wa dunia kwenye mzingo wake kuzunguka jua letu. Muda kamili wa... |
kipindi chote cha siku ambapo nuru ya jua inaangaza sehemu fulani ya dunia. Kinyume chake ni usiku. Kwa wakati mmoja, jua linaangaza karibu nusu ya dunia.... |
zinazozunguka Jua letu katika anga-nje. Kati ya sayari za Mfumo wa Jua, Dunia yetu ni sayari ya tatu kutoka kwa Jua. Masafa baina yake na Jua ni kilomita... |