Samani (far.
Kwa maana nyingine, samani au fanicha ni kama viti vilivyopo ndani ya nyumba na watu wanaweza kutumuia kwa kukalia, kulalia na vinginevyo vinavyotumiwa kwa kuwekea vitu vidogo kama nguo au vikombe. Samani huundwa kwa kutumia mbao, vipande vya mbao, ngozi, gundi au parafujo (yaani screws) n.k.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Samani, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.