Samani Meza

Meza (kutoka Kireno na kwa asili zaidi kutoka Kilatini mensa) ni kipande cha samani.

Tunaweka vitu juu ya meza, mara kwa mara na kwa muda mfupi, kwa mfano chakula, visu, vikombe vya vinywaji, kitabu, ramani, karatasi wakati wa kuandika, na vitu kwa ajili ya kujifurahisha n.k.

Samani Meza
Picha ya meza na viti vyake.

Pia tunaweza kuviweka vitu mezani kwa muda mrefu, kwa mfano televisheni,kompyuta,spika, deki, cd n.k.

Meza za zamani za Japani zinaitwa "chabudai" ambazo zilitumika kunywea chai na chakula.

Samani Meza Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meza (samani) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChakulaKaratasiKilatiniKipandeKirenoKitabuMudaRamaniSamaniVinywajiVisuVituWakati

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NdoaKadi za mialikoOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaNdege (mnyama)Julius NyerereSakramentiWizara za Serikali ya TanzaniaOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaHistoria ya WapareKalenda ya KiislamuFamiliaNungununguUyahudiShengKamusi za KiswahiliNgome ya YesuSamakiUkristoMapenziHekalu la YerusalemuBarabaraDNAMkoa wa Dar es SalaamHistoria ya AfrikaKiboko (mnyama)KataOrodha ya Watakatifu WakristoPasakaShirikisho la Afrika MasharikiMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoRushwaNeemaMunguMlo kamiliUingerezaTungo kishaziUshairiKata za Mkoa wa Dar es SalaamHarusiOrodha ya Marais wa UgandaTmk WanaumeKemikaliAzimio la kaziAfrika Mashariki 1800-1845Meena AllyOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMahakamaMbuMikoa ya TanzaniaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoFananiDhahabuMahakama ya TanzaniaFaraja KottaKwaresimaFani (fasihi)Mkondo wa umemeJamhuri ya Watu wa ZanzibarAngkor WatKoreshi MkuuHistoria ya KiswahiliNzigeAlasiriKunguruUjasiriamaliAir TanzaniaWhatsAppHadithiSoko la watumwaTelevisheniRamadan (mwezi)Mashariki ya KatiZiwa ViktoriaTiktokKipaimaraViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Kamusi elezoShomari Kapombe🡆 More