Nguo

Nguo ni kitambaa ambacho kinaweza kutumika kufunikia meza, kitanda n.k.

lakini hasa kutengenezea mavazi mbalimbali yanayovaliwa na mtu kwa ajili ya kujisitiri, kwa sababu ya kutunza heshima yake na kujikinga dhidi ya baridi, jua, mvua n.k. Ndiyo sababu mara nyingi neno "nguo" linamaanisha mavazi yenyewe.

Nguo
Kitambaa kilivyoshonwa.
Nguo
Vitambaa vya Alpaca katika soko laOtavalo, Ecuador.
Nguo
Duka la nguo huko Mukalla, Yemen.

Nguo huvaliwa kulingana na hali ya hewa na mazingira fulani, lakini pia kulingana na mitindo inayobadilikabadilika kadiri ya nyakati.

Historia ya nguo

Kulingana na wanaakiolojia na wanaanthropolojia, nguo za kwanza zilikuwa manyoya, ngozi za wanyama, majani na nyasi. Uvaaji wa nguo hizi uliwasaidia binadamu haswa katika kujikinga na hewa baya, kujikinga na vumbi pamoja na dhoruba kali.

Tanbihi

Marejeo

Nguo 
Wiki Commons ina media kuhusu:
  • Fisher, Nora. Rio Grande Textiles (toleo la Paperbound). Museum of New Mexico Press.  Introduction by Teresa Archuleta-Sagel. 196 pages with 125 black and white as well as colour plates. Fisher is Curator Emirta, Textiles & Costumes of the Museum of International Folk Art.
  • Good, Irene (2006). "Textiles as a Medium of Exchange in Third Millennium B.C.E. Western Asia". Katika Mair, Victor H. Contact and Exchange in the Ancient World. Honolulu: University of Hawai'i Press. ku. 191–214. ISBN 978-0-8248-2884-4. 
  • Arai, Masanao (Textile Industry Research Institute of Gunma). "From Kitsch to Art Moderne: Popular Textiles for Women in the First Half of Twentieth-Century Japan" ( Archived 4 Julai 2017 at the Wayback Machine.). Textile Society of America Symposium Proceedings. Textile Society of America, January 1, 1998.
Nguo  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nguo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BaridiBinadamuHeshimaJuaKitambaaKitandaMavaziMezaMvuaNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UajemiMunguUvimbe wa sikioSitiariAunt EzekielLiverpool F.C.MnyamaMzeituniMbuga za Taifa la TanzaniaNyotaShetaniDubaiUandishiBruneiWingu (mtandao)Kalenda ya KiislamuMpira wa mkonoHistoria ya WasanguUtumbo mpanaLionel MessiUlumbiKishazi huruUjerumaniSayansi ya jamiiUundaji wa manenoWilaya ya Nzega VijijiniAli KibaMbooManispaaUpinde wa mvuaMfumo wa mzunguko wa damuAmri KumiChakulaMaumivu ya kiunoArusha (mji)Alama ya uakifishajiVirusi vya UKIMWILuhaga Joelson MpinaMmeaVivumishi vya urejeshiSabatoKiolwa cha anganiKukiViwakilishi vya idadiLakabuMagonjwa ya machoAgostino wa HippoFonolojiaBenjamin MkapaMoyoIkwetaDini asilia za KiafrikaMwakaUgandaTawahudiMalariaKiazi cha kizunguJichoMfumo wa JuaDaktariJacob StephenMlima wa MezaUkimwiMkoa wa SongweDawa za mfadhaikoUharibifu wa mazingiraLilithPapa (samaki)Maambukizi ya njia za mkojoOrodha ya makabila ya KenyaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMaudhui katika kazi ya kifasihi🡆 More