Uzalishaji

Uzalishaji (kutoka kitenzi kuzaa, kilichonyambulishwa kuwa kuzalisha) ni mchakato wa kutumia akili, ujuzi n.k.

ili kufanya mali na vitu kwa jumla viongezeke kulingana na mahitaji ya binadamu, kuanzia chakula The area of economics that focuses on production is referred to as production theory, which in many respects is similar to the consumption (or consumer) theory in economics., badala ya kutarajia viwatoshe daima kama ilivyo katika maisha ya wawindaji-wakusanyaji wanaoendeleza utamaduni wa watu wa kale hadi miaka 10,000 hivi iliyopita.

Uzalishaji
Mavuno ya ngano kwa vifaa vya kisasa yanawatimizia wengi mahitaji ya chakula.

Ndipo wengine walipoanza shughuli za ufugaji na kilimo zilizosababisha ustaarabu uliozidi kustawi na kuenea duniani kote pamoja na namna nyingi za uchumi.

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

  • Elmer G. Wiens: Production Functions - Models of the Cobb-Douglas, C.E.S., Trans-Log, and Diewert Production Functions.
Uzalishaji  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uzalishaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Uzalishaji TanbihiUzalishaji MarejeoUzalishaji Marejeo mengineUzalishaji Viungo vya njeUzalishajiAkiliBinadamuChakulaKitenziMaishaMaliUjuziUtamaduniVituWawindaji-wakusanyaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaMkoa wa KataviUlumbiKichochoHussein KaziFani (fasihi)KontuaWasukumaMadiniAzimio la ArushaMashineNetiboliMaishaMwanga wa JuaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaOrodha ya maziwa ya TanzaniaAbedi Amani KarumeMkoa wa IringaJohn Samwel MalecelaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniVita ya AbushiriMichezo ya jukwaaniUNICEFFamiliaUtohoziOrodha ya Marais wa UgandaLugha ya taifaUchawiOrodha ya Watakatifu WakristoMmomonyokoNyumbaMajira ya mvuaLughaRushwaNabii IsayaMarekaniInshaVidonge vya majiraUsawa (hisabati)DemokrasiaUlemavuNyanda za Juu za Kusini TanzaniaVitenzi vishiriki vipungufuSexVita Kuu ya Pili ya DuniaKalenda ya KiislamuNyegereHadithiAkiliHistoria ya KiswahiliKiambishi awaliMapambano ya uhuru TanganyikaDoto Mashaka BitekoKipindupinduUjerumaniMtakatifu PauloDodoma MakuluUandishiJokofuMkoa wa RukwaYoung Africans S.C.KiumbehaiHektariFalme za KiarabuHistoria ya TanzaniaUbongoMohamed HusseinRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Msalaba wa YesuChumaStephane Aziz KiKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki🡆 More