Guatemala

Guatemala (pia Gwatemala; kutoka lugha ya Kinahuatl Cuauhtēmallān, kwenye miti mingi) ni nchi ya Amerika ya Kati.

Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Atlantiki upande wa Mashariki, tena na nchi za Mexiko, Belize, Honduras na El Salvador.

Guatemala
Guatemala
Kanisa la San Andrés Xecul.

Eneo lake ni km2 108,889 ambamo wanaishi watu 17,980,803 (2023).

Watu

Guatemala 

Wakazi wengi (56%) ni machotara waliotokana na Waindio na Wazungu au watu wenye asili ya Ulaya tu. Waindio wenyewe ni 43.4%.

Lugha rasmi na inayotumika zaidi (69.9%) ni Kihispania, lakini zipo pia nyingine 23 za wakazi asili.

Upande wa dini, wakazi wengi ni wafuasi wa Yesu katika Kanisa Katoliki (45%) na madhehebu mengine ya Ukristo, hasa ya Uprotestanti (42%). Asilimia 11 hawana dini.

Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Guatemala 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Guatemala  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guatemala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Guatemala WatuGuatemala Tazama piaGuatemala MarejeoGuatemala Viungo vya njeGuatemalaAmerika ya KatiAtlantikiBahariBelizeEl SalvadorHondurasKinahuatlLughaMagharibiMasharikiMexikoPasifiki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wayao (Tanzania)SadakaAzimio la ArushaMfumo wa upumuajiUNICEFMkoa wa Unguja Mjini MagharibiKamusi za KiswahiliNembo ya TanzaniaUkristo nchini TanzaniaHistoria ya BurundiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoWilaya ya MeruUchumiMnyamaBarua pepeHistoriaMawasilianoMadhehebuKichochoKata za Mkoa wa MorogoroTambikoPumuOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMichezoMbadili jinsiaSentensiMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaMagonjwa ya machoVieleziUchawiMkonoViunganishiSayariVivumishi vya sifaYesuBenjamin MkapaKiboko (mnyama)Mbuga za Taifa la TanzaniaAfro-Shirazi PartyKisimaPesaMohamed HusseinMajigamboKito (madini)Wilaya ya TemekeMajira ya mvuaVita Kuu ya Pili ya DuniaMashariki ya KatiMariooSumakuMaktabaHarmonizeSheriaHistoria ya UislamuTamathali za semiBendera ya TanzaniaVitenzi vishirikishi vikamilifuNdovuAthari za muda mrefu za pombeHadithi za Mtume MuhammadKisononoMkoa wa KilimanjaroSimba S.C.ViwakilishiUfugaji wa kukuNusuirabuMimba kuharibikaMbezi (Ubungo)Mkataba wa Helgoland-ZanzibarUtafitiKatibaMuhammadSintaksiUhuru wa Tanganyika🡆 More