Guatemala

Guatemala (pia Gwatemala; kutoka lugha ya Kinahuatl Cuauhtēmallān, kwenye miti mingi) ni nchi ya Amerika ya Kati.

Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Atlantiki upande wa Mashariki, tena na nchi za Mexiko, Belize, Honduras na El Salvador.

Guatemala
Guatemala
Kanisa la San Andrés Xecul.

Eneo lake ni km2 108,889 ambamo wanaishi watu 17,980,803 (2023).

Watu

Guatemala 

Wakazi wengi (56%) ni machotara waliotokana na Waindio na Wazungu au watu wenye asili ya Ulaya tu. Waindio wenyewe ni 43.4%.

Lugha rasmi na inayotumika zaidi (69.9%) ni Kihispania, lakini zipo pia nyingine 23 za wakazi asili.

Upande wa dini, wakazi wengi ni wafuasi wa Yesu katika Kanisa Katoliki (45%) na madhehebu mengine ya Ukristo, hasa ya Uprotestanti (42%). Asilimia 11 hawana dini.

Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 
Guatemala 

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Guatemala 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Guatemala  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guatemala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Guatemala WatuGuatemala Tazama piaGuatemala MarejeoGuatemala Viungo vya njeGuatemalaAmerika ya KatiAtlantikiBahariBelizeEl SalvadorHondurasKinahuatlLughaMagharibiMasharikiMexikoPasifiki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NevaAli KibaMungu ibariki AfrikaPakaNdege (mnyama)Injili ya MathayoOrodha ya nchi za AfrikaMkoa wa TaboraUkimwiIsraeli (maana)KisononoSomo la UchumiWajitaJuma NatureOrodha ya nchi kufuatana na wakaziBarua rasmiWamanyemaNgw'anamalundiMlongeJamhuri ya Watu wa ZanzibarWikipediaIbadaNandyMkoa wa LindiUwanja wa Taifa (Tanzania)MshubiriKitenziMbwana SamattaMohamed HusseinNgono zembeUtataUfeministiUchumiEe Mungu Nguvu YetuSimuHistoria ya KiswahiliNahauMange KimambiAlomofuMkoa wa MaraTanganyika (ziwa)Historia ya Kanisa KatolikiMkoa wa ManyaraMichael JacksonMji mkuuUtafitiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMwanzoWayahudiMeta PlatformsKiongoziAfrika ya MasharikiMwanza (mji)Kanga (ndege)MapachaJFutsalLigi ya Mabingwa AfrikaUtamaduniMenoUkoloniNathariMarekaniVitendawiliMweziVita vya KageraBenjamin MkapaVielezi vya namnaTenziRufiji (mto)Mkoa wa IringaTwitterCherehaniMatiniHifadhi ya mazingiraHakiMchungajiFasihi🡆 More