Liberia

Liberia (yaani Nchi ya watu huru kwa Kilatini) ni nchi iliyoko Afrika ya Magharibi.

Imepakana na nchi za Ivory Coast, Guinea, na Sierra Leone.

Liberia

Ni mojawapo ya nchi za Afrika ambazo hazikutawaliwa na Wazungu. Hata hivyo watu wa Liberia huongea Kiingereza sana.

Historia

Liberia ni nchi iliyoundwa na makabila 16 ya asili nchini humo na wahamiaji Weusi toka Marekani na Karibi (5%), mbali na machotara wa aina mbalimbali.

Wamarekani Weusi hao walikuwa watumwa waliopata uhuru ambao kwa kushirikiana na chama cha American Colonization Society waliunda taifa hili na kutangaza uhuru wa nchi hiyo tarehe 26 Julai 1847.

Wamarekani Weusi hao waliichukulia nchi hiyo kama nchi ya ahadi kutokana na asili yao kuwa Afrika, ambako ndiko mababu zao walikotokea kabla ya kupelekwa utumwani Marekani.

Hata hivyo, wahamiaji hao waliendelea kujitambulisha kama Wamarekani na hawakujenga mahusiano ya karibu na wenyeji.

Alama za taifa hili (bendera, kauli mbiu, na nembo) na hata muundo wa serikali vilikuwa vikionyesha mahusiano ya karibu kati ya nchi hizo mbili.

Liberia ilikuwa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya miaka 1989-1996 na 1999-2003.

Hivi karibuni umefanywa kwa mara ya pili uchaguzi kwa amani na kuweza kumchagua George Weah kushika nafasi ya mwanamke wa kwanza kuwa Rais barani Afrika, Ellen Johnson-Sirleaf.

Watu

Lugha rasmi ni Kiingereza, ambacho kinatumiwa na asilimia 15 za wakazi. Lugha za taifa ni 4: Kiingereza cha Kiliberia, Kikpelle, Kimeriko na Krioli.

Upande wa dini, wakazi kwa asilimia 85.5 ni Wakristo, hasa Waprotestanti, halafu Wakatoliki (5.8%). Waislamu ni 12.2%. Wanaoendelea kufuata dini asilia za Kiafrika ni 0.5% tu.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Liberia 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Liberia  Liberia travel guide kutoka Wikisafiri


Nchi za Afrika Liberia 
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira

Tags:

Liberia HistoriaLiberia WatuLiberia Tazama piaLiberia MarejeoLiberia Viungo vya njeLiberiaAfrika ya MagharibiGuineaIvory CoastKilatiniSierra Leone

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

HarmonizeKilimanjaro (volkeno)MusaUdongoChristina ShushoMisriUgandaJamhuri ya Watu wa ZanzibarAmri KumiJumuiya ya Afrika MasharikiKaswendeMkopo (fedha)Misemo23 ApriliZama za MaweMnara wa BabeliFasihiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya milima ya TanzaniaKiambishi awaliKongoshoPemba (kisiwa)HotubaHistoria ya UislamuMivighaMkoa wa TangaDubai (mji)Mkanda wa jeshiKenyaKichecheMbaraka MwinsheheViwakilishi vya idadiUandishi wa ripotiNyati wa AfrikaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaOrodha ya Marais wa TanzaniaMwakaJakaya KikweteTungo sentensiDiniMatumizi ya lugha ya KiswahiliItifakiKitenzi kikuuUislamuMahindiLugha ya taifaKinyakyusaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMadhara ya kuvuta sigaraMtandao wa kompyutaKiboko (mnyama)MunguAsili ya KiswahiliMpwaTanganyika African National UnionJohn MagufuliWangoniNomino za kawaidaVisakaleUfahamuAlmasiIniTenziMaktabaBinamuWanyama wa nyumbaniZiwa ViktoriaMisimu (lugha)Ngono zembeLugha rasmiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiJogooAfrikaHali ya hewa🡆 More