Eswatini

Eswatini (jina rasmi tangu mwaka 2018 ni Umbuso weSwatini; kifupi cha Kiswati: eSwatini; kwa Kiswahili pia: Uswazi) ni nchi ndogo ya Kusini mwa Afrika isiyo na pwani katika bahari yoyote.

Ufalme wa Eswatini
Umbuso weSwatini (Kiswazi)
Kingdom of Swaziland (Kiingereza)
Nembo ya Eswatini
Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Siyinqaba (Kiswazi)
"Sisi ni ngome"
Wimbo wa taifa:
Nkulunkulu Mnikati wetibusiso temaSwati
"Mungu, Mpaji wa Baraka kwa Waswati"
Mahali pa Eswatini
Mahali pa Eswatini
Ramani ya Eswatini
Ramani ya Eswatini
Miji mikuuMbabane (serikali)
Lobamba (bunge)
Mji mkubwa nchiniMbabane
26°19′ S 31°08′ E
Lugha rasmiKiswati
Kiingereza
Makabila (asilimia)84 Waswati
10 Wazulu
6 wengine

Imepakana na Afrika Kusini na Msumbiji.

Miji mikuu ni Mbabane na Lobamba.

Historia

Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani.

Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi.

Waswati walianzisha ufalme wao katikati ya karne ya 18 chini ya Ngwane III; mipaka ya sasa ilikubalika mwaka 1881.

Baada ya vita kati ya Waingereza na Makaburu, Swaziland ilukuwa nchi lindwa ya Uingereza tangu mwaka 1903 hadi 1967.

Chini ya mfalme Sobhuza II aliyetawala kwa muda mrefu sana (1921-1982), Swaziland ilipata uhuru tarehe 6 Septemba 1968.

Siasa

Eswatini inatawaliwa tangu mwaka 1986 na mfalme Mswati III. Mfalme anapingwa mara nyingi kwa sababu anatumia pesa nyingi kwa ajili yake binafsi ilhali wananchi ni maskini sana. Kwa muda mwingi wa uhuru wa nchi katiba imesimamishwa, na mfalme ametawala peke yake.

Watu

Eswatini 
Mwanamke kutoka Eswatini akicheza.

Wakazi wengi ni wa kabila la Waswati na kuongea lugha ya Kiswati ambacho ni lugha rasmi pamoja na Kiingereza. Shuleni kinafundishwa pia Kireno.

Upande wa dini, 89.3% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, hasa Waprotestanti, lakini pia Wakatoliki (5%). Wanaoendelea kufuata dini asilia za Kiafrika ni 0.5% na Waislamu ni 1%.

Afya

Eswatini ni kati ya nchi duniani zilizoathiriwa zaidi na Ukimwi; umri wa wastani unafikia miaka 22 pekee kwa sababu ya vifo vingi (64%) vinavyotokana na ugonjwa huo uliopata 26% ya watu wazima wote.

Tanbihi

Tazama pia

Viungo vya nje

Eswatini 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:


Nchi za Afrika Eswatini 
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira
Eswatini  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Eswatini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Eswatini HistoriaEswatini SiasaEswatini WatuEswatini AfyaEswatini TanbihiEswatini Tazama piaEswatini Viungo vya njeEswatini2018BahariJinaKifupiKiswahiliKiswatiKusini mwa AfrikaMwakaPwani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Taswira katika fasihiWahayaHaki za watotoUongoziMafumbo (semi)Lugha rasmiMburahatiDubaiMkopo (fedha)Wilaya ya TemekeKataMivighaLafudhiGhuba ya UajemiDubai (mji)UkristoAlama ya barabaraniKalenda ya KiislamuKiumbehaiBawasiriOrodha ya Watakatifu wa AfrikaMkoa wa KataviWilaya ya KigamboniDhamiraHomoniMwakaSalim Ahmed SalimMajira ya baridiHistoria ya BurundiTanganyikaMshororoTarbiaBabeliMauaji ya kimbari ya RwandaJava (lugha ya programu)Mkoa wa LindiKanisaMkoa wa ShinyangaUtamaduni wa KitanzaniaTamthiliaHoma ya matumboBata MzingaViwakilishi vya kuoneshaSilabiChatuNamba ya mnyamaMpira wa miguuMajeshi ya Ulinzi ya KenyaHurafaWabunge wa kuteuliwaDiamond PlatnumzMorogoro VijijiniMnururishoRayvannyAgano la KaleTanganyika (ziwa)MatiniNgome ya YesuMoshi (mji)AbrahamuTausiSayariNuktambiliBenki ya DuniaChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Vidonge vya majiraFani (fasihi)Uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiJamhuri ya Watu wa ZanzibarIsimuHistoria ya KiswahiliJulius NyerereInsha🡆 More