Mbabane

Mbabane ni mji mkuu wa Eswatini ikiwa na wakazi 70,000 (2003).

Ofisi za serikali ziko huko lakini bunge na jumba la mfalme yako mjini Lobamba.

Mbabane
Mbabane ni mji mkuu wa Eswatini


Jiji la Mbabane
Nchi Eswatini
Mbabane

Mji uko kwenye milima ya Mdimba kwenye kimo cha mita 1200 juu ya UB.

Historia

Mji ulianzishwa na Waingereza mwaka 1902 BK baada ya vita dhidi ya makaburu ukawa makao makuu ya kiutawala ya eneo la Uswazi.

Jina limetokana na chifu Mbabane Kunene aliyekuwa mkuu wa sehemu ile wakati wa kuunda mji.

Uchumi

Nguvu ya kiuchumi ya Mbabane ni migodi ya karibu ya bati na dhahabu.

Viungo vya nje

Mbabane  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbabane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BungeEswatiniLobambaMfalmeMji mkuuOfisiSerikali

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KichecheMtakatifu PauloVita Kuu ya Kwanza ya DuniaWamasaiEl NinyoBruneiAlama ya uakifishajiLiverpoolAfrikaJoyce Lazaro NdalichakoAlizetiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaTiktokMichezoSayariUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMwamba (jiolojia)KilimoKishazi tegemeziMatiniSaida KaroliBaraTabataVivumishi vya idadiSimba (kundinyota)SexNambaAndalio la somoUwanja wa Taifa (Tanzania)Manchester CityTamthiliaArusha (mji)Steven KanumbaSabatoSaidi Salim BakhresaMkoa wa ManyaraRoho MtakatifuSakramentiWameru (Tanzania)Mkoa wa KataviMtandao wa kijamiiMeno ya plastikiOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNamba za simu TanzaniaTafakuriSimuKiwakilishi nafsiMapinduzi ya ZanzibarSayansiVihisishiMwaniWabunge wa Tanzania 2020Taswira katika fasihiUundaji wa manenoKhadija KopaBongo FlavaKiambishi awaliLahaja za KiswahiliHaki za wanyamaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoHistoria ya WasanguHektariUjerumaniBabeliPichaUtumbo mpanaHarmonizeNguzo tano za UislamuKoloniUmememajiMkoa wa MbeyaBahari ya HindiKamusi🡆 More