I

I ni herufi ya 9 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Asili yake ni Iota ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za I

Historia ya I

Kifinisia
Y (yad)
Kigiriki
Iota
Kietruski
I
Kilatini
I
I  I  I  I 

Asili ya alama ni picha andishi iliyoonyesha mkono. Wafinisia walikuwa rahisihsa alama hiyo na kuiita kwa neno lao la mkono "yad" (au: yod). Wakaitumia kama alama ya sauti "y" na pia ya "i" ndefu. Wagiriki wakaipokea kama "Iota" na kurahisisha umbo lake zaidi hadi kuwa mstari tu. Wakaitumia kwa sauti ya "i".

Alama ikaendelea hivyo katika alfabeti za Waetruski na za Kilatini.

I  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu I kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Alfabeti ya KigirikiAlfabeti ya KilatiniIotaKiswahili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MaarifaMbeziMaradhi ya zinaaHeshimaNgeliFamiliaDodoma MakuluKonsonantiPamboMaana ya maishaChemsha BongoTanganyika (ziwa)Stephane Aziz KiLughaFasihiDivaiBagamoyo (mji)Kidole cha kati cha kandoMofimuUturukiBenjamin MkapaBinadamuWikipediaMtakatifu PauloBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiNdiziVielezi vya namnaUkristo nchini TanzaniaSilabiMajiHisiaUwanja wa Taifa (Tanzania)John Samwel MalecelaVisakaleGongolambotoViwakilishiKata za Mkoa wa MorogoroPopoNguzo tano za UislamuSteven KanumbaMauaji ya kimbari ya RwandaRushwaSinzaSeli nyeupe za damuJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaEthiopiaKatekisimu ya Kanisa KatolikiTwigaMvuaDawatiNg'ombeUzalendoIsimuLugha ya taifaMusaTiktokKifua kikuuIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)BabeliAdhuhuriKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaKinembe (anatomia)AngahewaMeena AllyBikiraMkoa wa Dar es SalaamMadawa ya kulevyaChanika (Ilala)Mapenzi ya jinsia mojaMbuWilaya ya NyamaganaTaswira katika fasihiBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiUnyevuangaMtandao wa kompyuta🡆 More