Mnjugu (Arachis hypogaea) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaozaa njugu (pia karanga), mbegu zake ambazo zipo mbili mbili (pengine moja) ndani ya makaka.
Mnjugu (Arachis hypogaea) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mnjugu katika kichungu | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Tofauti na makaka ya kawaida vikonyo vya yale ya mnjugu huingia ardhini na makaka yanaendelea chini.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mnjugu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mnjugu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.