Ghuba

Ghuba ni hori kubwa ya bahari inayopakana na nchi kavu pande mbili au tatu.

Ghuba
Ghuba ya Mexiko ikionyesha Marekani upande wa kaskazini, Mexiko upande wa magharibi na kusini, kisiwa cha Kuba upande wa mashariki.
Ghuba
Eneo la Bahari ya Shamu ("Red Sea") kati ya Afrika na Uarabuni.

Mara nyingi ghuba hutokana na misogeo ya ganda la dunia inayosababisha maji kujaa nafasi iliyojitokeza.

Baadhi ya ghuba zinazojulikana ni kama vile Ghuba ya Guinea, Ghuba ya Uajemi, Ghuba ya Mexiko au Bahari ya Shamu.

Ghuba Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

BahariHoriMbiliNchi kavuTatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lahaja za KiswahiliVitenzi vishirikishi vikamilifuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaNomino za dhahaniaMziziKiumbehaiJay MelodyOrodha ya makabila ya TanzaniaMjombaClatous ChamaUfahamuMnyamaMombasaIsraeli ya KaleSenegalKidole cha kati cha kandoKiunguliaYouTubeNandyJuxAngahewaInshaFasihi simuliziNambaWiktionaryUnyevuangaMkoa wa TaboraSikioTarakilishiKitenziKahawiaKitenzi kishirikishiMuda sanifu wa duniaAsili ya KiswahiliKaabaPentekosteUhuru wa TanganyikaZuchuUbaleheOrodha ya nchi kufuatana na wakaziMazingiraKitenzi kikuuDhima ya fasihi katika maishaWashambaaUrusiJulius NyerereKiungo (michezo)Umoja wa MataifaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaKatekisimu ya Kanisa KatolikiKalenda ya KiislamuMajina ya Yesu katika Agano JipyaNchiKisiwa cha MafiaShetaniKumaMzabibu2 AgostiSiku tatu kuu za PasakaPaul MakondaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMkoa wa ArushaUbongoBaruaFani (fasihi)BibliaAmri KumiTundaMongoliaYoung Africans S.C.WhatsAppChawa🡆 More