Bahari Ya Shamu

Bahari ya Shamu (kwa Kiingereza Red Sea; kwa Kiarabu البحر الأحمر Baḥr al-Aḥmar, al-Baḥru l-’Aḥmar; kwa Kiebrania ים סוף Yam Suf; kwa Kitigrinya ቀይሕ ባሕሪ QeyH baHri) ni ghuba kubwa ya Bahari ya Hindi.

Jina la kihistoria katika lugha ya Kigiriki lilikuwa Bahari ya Eritrea (ερυθρά θάλασσα, erythrá thálassa).

Bahari Ya Shamu
Eneo la Bahari ya Shamu ("Red Sea")

Kaskazini kuna rasi ya Sinai pamoja ghuba ndogo za Aqaba na Suez; pia kwa sasa imeunganika na Mediteranea kwa njia ya Mfereji wa Suez. Kusini Bahari ya Shamu imeunganika na Bahari Hindi kwa njia ya mlango wa bahari wa Bab el Mandeb.

Ghuba yote ina urefu wa takriban kilomita 2000; upana wake ni kati ya km 300 na 20 tu kwenye Bab el Mandeb. Eneo lake ni km² 450,000.

Vilindi vyake vinaelekea hadi mita 2500 chini ya uwiano wa bahari. Vilindi hivyo ni sehemu ya Bonde la Ufa.

Halijoto ya maji ni kati ya 21-25 °C.

Nchi za kando

Nchi zinazopakana na Bahari ya Shamu ni:

Tags:

Bahari ya EritreaBahari ya HindiGhubaHistoriaJinaKiarabuKiebraniaKigirikiKiingerezaKitigrinyaLugha

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Afrika ya Mashariki ya KijerumaniFarasiZiwa ViktoriaWahayaLugha ya taifaNguzo tano za UislamuJuaFasihiMchungaji mwemaYohane MbatizajiViunganishiMikoa ya KenyaUbuntuUongoziHisiaMusaSteve MweusiMtandao wa kompyutaMwarobainiUtandawaziMkoa wa ManyaraPalestinaKito (madini)MalariaPasakaMazungumzoMwenge wa UhuruSanaa za maoneshoKumamoto, KumamotoHoma ya matumboOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaAFC LeopardsAfrika ya MasharikiUnyanyasaji wa kijinsiaSentensiAbedi Amani KarumeHadhiraJakaya KikweteAli KibaKwame NkrumahSeli nyeupe za damuTamthiliaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMkoa wa TaboraVita Kuu ya Kwanza ya DuniaUtamaduniMitishambaLiverpool F.C.WanyaturuKanaliMkoa wa MbeyaHistoria ya Kanisa KatolikiDhanaKamusi za KiswahiliStashahadaMaambukizi nyemeleziOrodha ya Marais wa BurundiAmaniMkoa wa TangaEnglish-Swahili Dictionary (TUKI)Davis MwamunyangeOrodha ya Watakatifu WakristoNamba ya mnyamaSakramentiAalborgGameMarekaniNdege (mnyama)Bustani ya EdeniBikiraNomino za jumlaAnwaniSheriaNuktambiliBakari Nondo Mwamnyeto🡆 More