Seoul

Seoul ni mji mkuu na mji mkubwa katika Korea ya Kusini.

Kihistoria na hadi mwaka 1945 ilikuwa mji mkuu wa Korea yote.

Seoul
Majengo ya kihistoria na ya kisasa mjini Seoul

Ina wakazi 10,276,968 kwenye eneo la km² 610.

Seoul iko kando ya mto Han katikati ya rasi ya Korea karibu na mpaka na Korea ya Kaskazini.

Jiji ni kitovu cha siasa, uchumi, utamaduni na elimu ya Korea Kusini.

Seoul ilikuwa mahali pa michezo ya olimpiki ya mwaka 1988.

Seoul Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Seoul kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1945Korea ya KusiniMjiMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ChatuBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiUgaidiViwakilishiUsafi wa mazingiraUjimaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMgawanyo wa AfrikaAina za manenoUzazi wa mpango kwa njia asiliaIdi AminMariooRayvannyMaziwa ya mamaMisriFasihi andishiKaswendeUsultani wa ZanzibarJava (lugha ya programu)Vidonda vya tumboUlumbiAfyaVirusi vya UKIMWIHakiUandishi wa inshaKihusishiKiimboNgw'anamalundiChamaziNusuirabuVita Kuu ya Kwanza ya DuniaNguruwe-kayaTaswira katika fasihiMaudhui katika kazi ya kifasihiOrodha ya kampuni za TanzaniaJumuiya ya MadolaMeena AllyIsimujamiiMatumizi ya lugha ya KiswahiliHistoria ya ZanzibarWhatsAppIyumbu (Dodoma mjini)UchawiUpinde wa mvuaHistoria ya TanzaniaMofolojiaTabianchi ya TanzaniaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaFamiliaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)UfupishoMajira ya baridiMkoa wa IringaIntanetiVitendawiliOrodha ya miji ya TanzaniaHistoria ya uandishi wa QuraniMbadili jinsiaTausiShinikizo la juu la damuFalsafaDiniSaidi NtibazonkizaTarakilishiVivumishi vya pekeePumuBarabaraAlama ya uakifishajiHistoria ya AfrikaAlama ya barabarani🡆 More