Son Heung-Min: Mchezaji wa mpira kutoka nchini Korea Kusini

Son Heung-min (alizaliwa 8 Julai 1992) ni mchezaji wa soka wa Korea Kusini ambaye anacheza kama winga au mshambuliaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Tottenham Hotspur na nahodha wa timu ya taifa ya Korea Kusini.

Son Heung-Min: Mchezaji wa mpira kutoka nchini Korea Kusini
Son akiwa Tottenham Hotspurs.

Son alizaliwa huko Chuncheon, Korea Kusini. Alianza kazi yake katika akademi ya FC Seoul, Mnamo Agosti 2008, Son alitoka kwenye akademi ya FC Seoul na kujiunga na klabu ya Hamburger ya Ujerumani.

Tarehe 13 Juni 2013, Bayer Leverkusen ilithibitisha uhamisho wa Son kwa ada ya milioni 10, ambayo ilikuwa ada kubwa zaidi ya uhamisho katika historia ya klabu wakati huo. Alikubaliana na klabu hiyo kwa muda wa miaka mitano.

Tarehe 28 Agosti 2015, Son alijiunga na klabu ya Tottenham Hotspur kwa £ milioni 22 kwa mkataba wa miaka mitano. Baada ya kusainiwa kwake, akawa mchezaji wa gharama kubwa zaidi wa Asia katika historia ya soka.

Son Heung-Min: Mchezaji wa mpira kutoka nchini Korea Kusini Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Son Heung-min kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19928 JulaiKlabuKorea KusiniLigi KuuMchezajiMshambuliajiNahodhaSokaTimu ya taifaUingerezaWinga

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya kumilikiMilaKiboko (mnyama)Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMapenzi ya jinsia mojaVita vya KageraKitenzi kikuu kisaidiziMbeyaMtume PetroTarafaEdward SokoineMilango ya fahamuPumuZabibuNomino za jumlaSodomaInsha ya wasifuInjili ya MarkoUlumbiBiolojiaMapambano kati ya Israeli na PalestinaTabataWanyaturuArsenal FCWapareBiashara ya watumwaStephane Aziz KiMwanzoOrodha ya viongoziMasafa ya mawimbiMofimuRufiji (mto)Orodha ya milima mirefu dunianiSamakiJumuiya ya Afrika MasharikiHarmonizeSwalaUzazi wa mpango kwa njia asiliaMajina ya Yesu katika Agano JipyaMitume wa YesuTreniMziziKukuMaadiliNgano (hadithi)KiambishiRisalaWayback MachineShambaAndalio la somoMaradhi ya zinaaDawatiMalariaKongoshoFasihi simuliziKunguruMwanzo (Biblia)Wimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya nchi za AfrikaUsanifu wa ndaniSayariTashihisiSayansiViwakilishi vya pekeeAnwaniUnyenyekevuIntanetiUchaguziMwana FAInsha za hojaViwakilishi vya urejeshi🡆 More