Agosti: Mwezi wa nane katika mwaka

Mwezi wa Agosti ni mwezi wa nane katika Kalenda ya Gregori.

Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Jina lake limetokana na jina la Kaisari Augustus wa Warumi. Kwa asili, mwezi huo wa Agosti ulikuwa mwezi wa sita katika kalenda ya Warumi, na jina lake lilikuwa Sextilis kulingana na neno la Kilatini sextus, maana yake ni "wa sita". Mwaka wa 153 KK, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka Machi kwenda Januari, na maana ya jina Sextilis ilipotea.

Agosti ina siku 31, na katika mwaka mrefu (wenye siku 366), inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Februari.

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:

Tags:

153 KKAugustusJanuariKKKaisariKalenda ya GregoriKilatiniMachiWarumi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DemokrasiaWahaNomino za jumlaUfalme wa MuunganoBarua rasmiPamboNomino za dhahaniaMpwaPichaFasihiUfugaji wa kukuAfrika ya MasharikiTausiAmina ChifupaTanganyika African National UnionKitenzi kikuu kisaidiziKaswendeAlfabetiYoung Africans S.C.ViwakilishiKupatwa kwa JuaMkoa wa KataviNgonjeraMkataba wa Helgoland-ZanzibarAgano la KaleSentensiUtumwaNembo ya TanzaniaKamusiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaBendera ya ZanzibarMkopo (fedha)MalariaSkeliNuktambiliJohn MagufuliMahakama ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaWilaya ya ArumeruUkristo nchini TanzaniaLahaja za KiswahiliHafidh AmeirMafurikoKishazi huruLenziUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Ugonjwa wa kuambukizaMkoa wa MwanzaMjombaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaUchumiMorogoro VijijiniNimoniaMatumizi ya LughaVivumishi vya jina kwa jinaOrodha ya Marais wa KenyaMizunguJamiiMandhariKiimboUsafi wa mazingiraMtemi MiramboKongoshoUmemeAli KibaWhatsAppMtakatifu PauloMaziwa ya mamaJohn Raphael BoccoTenzi🡆 More