Septemba ni mwezi wa tisa katika Kalenda ya Gregori.
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Jina lake limetokana na neno la Kilatini septem, maana yake ni "saba". Mwaka wa 153 KK, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka Machi kwenda Januari, na maana ya jina lake Septemba ilipotea.
Tarehe 20, mwezi huo wa Septemba, ni siku mlingano (au ikwinoksi kutoka Kiingereza equinox) ambapo jua huvuka mstari wa ikweta, na muda wa usiku na mchana unalingana duniani kote (ila maeneo ya ncha ambapo nusu ya jua hubaki chini ya upeo wa macho na nusu nyingine juu kwa siku nzima).
Septemba ina siku 30, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Desemba.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Septemba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.