Tarehe 21 Septemba ni siku ya 264 ya mwaka (ya 265 katika miaka mirefu).
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Mpaka uishe zinabaki siku 101.
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Mtume Mathayo, na kumbukumbu za watakatifu nabii Yona, Kwadrato wa Athens, Pamfili wa Roma, Aleksanda wa Roma, Eusebi, Nestabo na wenzao, Fransisko Jaccard, Thomas Tran Van Thien, Laurenti Imbert, Petro Maubant, Yakobo Chastan n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article 21 Septemba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.