Tarehe 29 Septemba ni siku ya 272 ya mwaka (ya 273 katika miaka mirefu).
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Mpaka uishe zinabaki siku 93.
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya malaika wakuu Mikaeli, Gabrieli na Rafaeli, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Eutiki wa Marmara, Ripsime na wenzake, Fraterno wa Auxerre, Siriaki wa Palestina, Yohane wa Dukla, Mikaeli wa Aozaraza na wenzake, Renato Goupil n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article 29 Septemba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.