Malaika mkuu (kwa Kigiriki ἀρχάγγελος arkh- + angelos)ni jina la heshima kwa baadhi ya malaika wenye hadhi ya juu kati ya viumbe vya kiroho.
Msingi wa imani hiyo ni kwamba kila malaika ameumbwa peke yake na tofauti na wengine wote, na kwamba katika kumtumikia Mungu aliyewaumba wanashirikiana kwa ngazi.
Biblia ya Kikristo inatumia jina hilo mara mbili: katika Waraka wa kwanza kwa Wathesalonike 4:16 na katika Waraka wa Yuda 1:9, ambapo linamhusu malaika Mikaeli.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Malaika mkuu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.