Mwimbaji ni mtu anayeimba.
Mtu yeyote anayeimba ni mwimbaji. Kuna baadhi ya watu hufanya kuimba kama kazi ya kujipatia ridhiki, na kuna wengine huimba bila kulipwa (kwa Kiingereza. wanawaita amateur singer).
Waimbaji wanaweza kuimba kitu chochote kile: nyimbo, opera n.k. Wanawezekana wakawa wanasindikizwa na ala za muziki au bendi za muziki. Kuna baadhi ya waimbaji pia hupiga vyombo vya muziki kama vile piano, gitaa, au zeze la kizungu (wanajiongoza wenyewe). Kuimba ni muhimu katika filamu makumbi ya maonyesho.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwimbaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mwimbaji, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.