Opera ni igizo inayoimbwa katika utamaduni wa Ulaya.
Waigizaji hawasemi bali huimba maneno yao. Igizo ya opera hufanywa mara nyingi katika nyumba za pekee. Pamoja na waigizaji na waimbaji kuna bendi maalumu.
Maigizo ya Opera hufuata maelezo ya kimaandishi na kila neno la mwigizaji limeandikwa. Vilevile uimbaji pamoja na muziki yote ni ya kuandikwa.
Watungaji mashuhuri wa muziki walitunga opera kama vile
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Opera, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.