Mwezi wa Oktoba ni mwezi wa kumi katika Kalenda ya Gregori.
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Jina lake limetokana na neno la Kilatini octo, maana yake ni "nane", kwa vile katika kalenda ya kale ya Warumi, mwezi huo ulikuwa wa nane. Mwaka wa 153 KK lakini, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka Machi kwenda Januari, na maana ya jina lake Oktoba ilipotea.
Oktoba ina siku 31, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Januari ila katika miaka mirefu yenye siku 366.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Oktoba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.