Mwezi wa Machi ni mwezi wa tatu katika Kalenda ya Gregori.
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Jina lake limetokana na jina la mungu wa vita wa Warumi Mars.
Tarehe 20, mwezi huo wa Machi, ni siku mlingano (au ikwinoksi kutoka Kiingereza equinox) ambapo jua huvuka mstari wa ikweta, na usiku na mchana ziko sawasawa kimuda duniani popote (ila maeneo ya ncha ambapo nusu ya jua hubaki chini ya upeo wa macho na nusu nyingine juu kwa siku nzima).
Machi ina siku 31, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Novemba, na pia katika miaka ya kawaida isiyo mirefu, siku yake ya kwanza ni sawa na mwezi wa Februari.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Machi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.