Gharama ni thamani ya pesa ambayo imetumiwa ili kupata kitu au kutoa huduma, na hivyo haipatikani kwa matumizi tena.
Katika biashara, gharama inaweza kuwa ile ya ununuzi: katika kesi hiyo kiasi cha fedha kilichotumiwa kupata kitu huhesabiwa kama gharama. Katika kesi hii, pesa ni pembejeo ambayo imekwenda ili kupata kitu.
Gharama ya upatikanaji inaweza kuwa jumla ya gharama za uzalishaji kama inavyotokana na mtayarishaji wa awali, na gharama zaidi za manunuzi ya malighafi.
Kwa kawaida bei ya kuuzia inalenga faida juu ya gharama za uzalishaji.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gharama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Gharama, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.