Visiwa Vya Solomon

Visiwa vya Solomon ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki iliyoko mashariki kwa Papua Guinea Mpya.

Visiwa vya Solomon
Visiwa Vya Solomon
Ramani ya Solomoni

Eneo lake ni visiwa karibu 1000, vyenye jumla ya km² 28,400 na wakazi 652,857, wengi wakiwa Wamelanesia (95.3%), wakiongea lugha 90. Lugha rasmi ni Kiingereza.

Kati yao 97.4% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Anglikana na Katoliki (19%).

Mji mkuu ni Honiara kwenye kisiwa cha Guadalcanal.

Historia

Visiwa vimekaliwa tangu miaka elfu kadhaa na Wamelanesia.

Kuanzia karne ya 19 vilikuwa koloni la Ujerumani na la Uingereza.

Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mapigano makali kati ya Japani na Marekani yalitokea hapo.

Visiwa vilipata uhuru mwaka 1978.

Visiwa Vya Solomon 
Mashujaa wa visiwa vya Solomon wakiwa na silaha

Tazama pia


Visiwa Vya Solomon  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Bahari ya PasifikiMasharikiMelanesiaNchi ya visiwaniPapua Guinea Mpya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Sah'lomonVita ya Maji MajiMkoa wa Dar es SalaamTungo kishaziMtumbwiMbeya (mji)HisiaMperaSaidi Salim BakhresaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaNyukiTashihisiNdege (mnyama)MbagalaGeorDavieNomino za jumlaOrodha ya Magavana wa TanganyikaAmina ChifupaMaajabu ya duniaTupac ShakurTreniVielezi vya namnaIkwetaDiamond PlatnumzFisiSemiMaudhui katika kazi ya kifasihiKamusi za KiswahiliViwakilishi vya urejeshiFutiIsimujamiiSensaMnyoo-matumbo MkubwaKiongoziBaraMsamiatiAlama ya barabaraniMajiBendera ya KenyaMlongeAzimio la ArushaTabianchiUongoziWangoniVivumishi vya urejeshiBarua rasmiUkristo barani AfrikaViwakilishi vya kumilikiPasakaVasco da GamaBahari ya HindiMaadiliRose MhandoKiwakilishi nafsiMkoa wa SimiyuKongoshoUlimwenguKondomu ya kikeUtumwaMkoa wa PwaniUfugajiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMsituPesaKiambishi tamatiNdoa katika UislamuUsanifu wa ndaniSarufiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSumakuNduniMaji kujaa na kupwaBunge🡆 More