Melanesia

Melanesia ni eneo la Bahari ya Pasifiki lililoko kaskazini kwa Australia.

Ni mojawapo kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na Mikronesia na Polynesia.

Melanesia
Mahali pa Melanesia katika Pasifiki kaskazini ya Australia
Melanesia
Mwenyeji wa Vanuatu awafundisha watoto kutengeneza moto

Jina lake limeundwa na maneno ya Kigiriki μέλας cheusi na νῆσος kisiwa yaani "visiwa vyeusi" au zaidi "Visiwa vya Weusi". Nahodha Mfaransa Jules Dumont d'Urville alitunga jina hilo mwaka 1832 akitaka kutaja wazawa waliokuwa na rangi nyeusi-nyeusi.

Watu na utamaduni

D'Urville alijumlisha wakazi wa visiwa hivyo pamoja kutokana na rangi yao. Lakini hali halisi ni watu wa aina mbalimbali. Wengine ni Waaustronesia, wengine Wapapua na wengine wametokana na mchanganyiko wa vikundi hivyo viwili.

Nchi za Melanesia

Fiji, Papua Guinea Mpya, Visiwa vya Solomon, Vanuatu na Kaledonia Mpya (chini ya Ufaransa) zinajihesabu kuwa sehemu za Melanesia. Kuhusu visiwa vingine mawazo hutofautiana.

Visiwa vya Melanesia

Visiwa na mafunguvisiwa vifuatavyo vinahesabiwa katika Melanesia:

Visiwa vilivyoko katika eneo hili lakini wakazi hawajitazami kuwa Wamelanesia:

Wakati mwingine hata visiwa upande wa Guinea Mpya vinahesabiwa humo ingawa wakazi hawajitazami hivyo: Halmahera, Alor na Pantar.

Melanesia  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

AustraliaBahari ya PasifikiKaskaziniMikronesiaPolynesiaVisiwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Anna MakindaMafarisayoUsawa (hisabati)ChuiPichaBikira MariaSheriaMnara wa BabeliMalipoBiasharaHaki za binadamuWameru (Tanzania)FasihiKahawiaNgamiaUfugaji wa kukuAthari za muda mrefu za pombeMalariaAsidiVita vya KageraMji mkuuSamia Suluhu HassanOrodha ya MiakaRaiaMwanza (mji)Usafi wa mazingiraTelevisheniKata za Mkoa wa Dar es SalaamTabianchiMapambano kati ya Israeli na PalestinaNyokaAngahewaKisimaSeli nyeupe za damuSinagogiNyaniOsimosisiDhambi2 AgostiUNICEFHifadhi ya SerengetiRedioKishazi tegemeziJogooHistoria ya uandishi wa QuraniAzimio la ArushaAbby ChamsVidonda vya tumboHekalu la YerusalemuMkondo wa umemeLeopold II wa UbelgijiSintaksiHaki za watotoMjasiriamaliFiston MayeleAlama ya barabaraniKiswahiliMaji kujaa na kupwaEkaristiBunge la TanzaniaRobin WilliamsBikiraShinikizo la juu la damuMadawa ya kulevyaHomanyongo CHoma ya dengiMeena AllyKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaDubaiKondoo (kundinyota)ArudhiMmeaMaadiliMkoa wa RuvumaBenderaLugha ya taifaMkoa wa Shinyanga🡆 More