Mikronesia

Mikronesia ni eneo la Bahari ya Pasifiki.

Ni moja kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na Melanesia na Polynesia.

Mikronesia
Visiwa vya Mikronesia
Mikronesia

Jina limeundwa na maneno ya Kigiriki ya νῆσος (kisiwa) na μικρος (kidogo) yaani "visiwa vidogo". Mpelelezi na nahodha Mfaransa Jules Dumont d'Urville alitunga jina hili 1832 kwa kuweka uzito kwa udogo wa visiwa hivi vinavyozidi 2,000.

Mikronesia iko upande wa mashariki wa Ufilipino na upande wa kaskazini ya Guinea Mpya na Melanesia to the south, halafu magharibi ya Polynesia. Eeno lake ni klaskazini ya ikweta.

Nchi za Mikronesia

Kisiasa kuna maeneo nane katika Mikronesia:

Mikronesia  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Bahari ya PasifikiMelanesiaPolynesia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mbaraka MwinsheheMpira wa miguuMtume PetroMbuniMapambano ya uhuru TanganyikaUshairiUkooKilimanjaro (volkeno)Hafidh AmeirKitenziRoho MtakatifuTabataUsafi wa mazingiraKisaweMartha MwaipajaUkimwiBibliaSamakiWahadzabeNabii EliyaMbagalaNyaniHaitiSimba S.C.MuhimbiliUingerezaUjimaKiambishi awaliBarua rasmiTabianchiKiumbehaiNyotaMaradhi ya zinaaKiimboRupiaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTafakuriMariooVivumishi vya sifaMaandishiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMfumo wa mzunguko wa damuArusha (mji)Hussein Ali MwinyiMaumivu ya kiunoMarie AntoinetteRita wa CasciaHarmonizeTumbakuDhamiraUandishi wa barua ya simuJamhuri ya Watu wa ChinaKonyagiMalariaNguzo tano za UislamuMaji kujaa na kupwaMtumbwiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniUandishi wa inshaViunganishiHistoria ya KiswahiliFamiliaVipera vya semiWasukumaSensaUtumwaMvua ya maweMuda sanifu wa duniaSiasaDaktari🡆 More