Vanuatu

Vanuatu ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki ya kusini yenye visiwa 83.

Vanuatu
Port Villa, Mji Mkuu wa Vanuatu
Vanuatu

Iko takriban km 1,750 mashariki kwa Australia, km 500 kaskazini-mashariki kwa Kaledonia Mpya, magharibi kwa Fiji na kusini kwa Visiwa vya Solomon.

Mji mkuu ni Port Vila.

Watu

Kuna wakazi 266,937 (2014) wakiongea lugha asili 113 (angalia orodha ya lugha za Vanuatu).

Lugha rasmi ni Bislama, Kiingereza Kifaransa.

Wakazi wana asili ya Melanesia. Inawezekana watu wa kwanza walihamia visiwani miaka 4,000 iliyopita.

Kwa sasa wengi ni Wakristo, hasa Waprotestanti (Wakalvini, Waanglikana n.k.), halafu Wakatoliki (15%).

Tazama pia


Vanuatu  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Bahari ya PasifikiMelanesiaNchi ya visiwani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MendeMsumbijiBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMkoa wa ShinyangaAslay Isihaka NassoroMaji kujaa na kupwaUkristo barani AfrikaUfupishoMuda sanifu wa duniaWabunge wa Tanzania 2020VisakaleLughaKiraiKabilaManchester CityJinaiOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUchawiAfrikaUundaji wa manenoMsituPijini na krioliKoroshoKaaKiongoziAfrika ya KatiUtumwaWasukumaIniNgw'anamalundi16 ApriliMitume na Manabii katika UislamuUtohoziHistoria ya IsraelLenziBinamuSimbaWagogoVihisishiDini asilia za KiafrikaMkoa wa KataviKitomeoMkoa wa PwaniZama za ChumaSamakiVivumishi vya kumilikiHektariUkristoMarekaniDhamiraSerikaliZeruzeruVielezi vya mahaliMaana ya maishaMbeyaKishazi huruMajigamboRiwayaRohoWajitaMkoa wa KilimanjaroBarua pepeBurundiUfugajiRwandaDemokrasia ya moja kwa mojaMlo kamiliUandishi wa inshaEdward SokoineSemiMashariki ya KatiWanyakyusaMariooSimba S.C.🡆 More